Hamna mwenye ushuhuda wa Bitcoin ikiwa dolar moja alinunua bitcoin hata tano tu,na kuziacha kwenye wallet, leo hii anakula maisha kupitia Bitcoin.
Leo iko na thamani ya usd 42,000 kwa Bitcoin moja ,kuwa nazo tano tu tayari ungekuwa kwenye utajiri . Matazamio ni kwamba baada ya miaka 10 tena...
Mawazo yote yaliyotolewa ni mazuri
Ila Kuna wazo Moja nakushauri na hakikisha unalifanyia kazi,hata kama Kwa mtaji mdogo.
Fanya biashara ya NAFAKA,Fanya utafiti uone nafaka zipi dodoma zinauzika sana,na uhitaji ni mkubwa.
Jikite hapo mkuu,Utakuja kunishukuru baadae...
Wanajukwaa habari za muda huu!
Anataka kuhamia Kagera(muleba) kutoka Arusha mjini.
Ni mfanyakazi wa serikali mambo ya mifugo na uvuvi, Yeye anaona akienda huko atapata fursa nyingi zaidi kulingana na kazi yake tofauti na hapa Arusha mjini.
Anataka akajiwekeze hasa kwenye ufugaji na uvuvi, je...
Mkuu, mawazo ya kupata hiyo 20,000 Kila siku yapo,mengi tu sema Sasa yanahitaji uwepo wapo muda wote,au usimamizi wa Hali ya juu na kujitoa kikamilifu Ili kupata hiyo 20,000 Kwa siku.
Hebu njoo pm , tuzungumze tukielewane nakupa idea upambane mkuu.
Zinalipa mkuu ila weka nusu ya hiyo pesa ndo uanze kama mtaji na wewe ndio uwepo kwenye duka au wife wako.
Zingine wekeza kwenye biashara nyingine ambayo haitakulazimu wewe usimamizi wako.
Zipo biashara nyingi tu hapa Arusha, tuwasiliane Kwa mawazo zaidi na ushauri zaidi. (Nipo Arusha pia)
Uko sahihi kabisa mkuu,tena sana..,hoja nzuri sana hizo,ndo maana mimi Kwa kuzingatia risk za stock market,nikasema aweke 33% ya pesa zake.
Maana yake Kuna asilimia nyingine zitakuwa zinaendesha biashara zingine endapo huko kwenye stock market Kuna loss.
Ingawa Kwa kufanya utafiti wa kina kuhusu...
Habari yako.
Hongera Kwa harakati zako zilizokufikisha hapo ulipo na Sasa unategemea kupanuka zaidi kiuchumi.
Fanya hivi (Kwa ushauri wangu)..
1.Jenga nyumba za kupangisha tumia 33% ya mtaji wako,zikiwa tatu au tano sawa,ila usitumie zaidi ya 33% ya mtaji wako kujenga.(ziwe za kuishi au guest...
Mkuu tulipita tu Kwa uwezo wa Yehova,na faraja za ndugu,jamaa na marafiki.
Aliniacha ndo namalizia darasa la sita kuingia la Saba.,niliumia ila hatimaye nikazoe na Leo Nina miaka 30+ napambana na maisha.
Asante Mungu wa mbinguni.
Vizuri sana ndugu,pambana hivyo hivyo utakuja kuanza kupata faida zaidi ya hiyo unayopata Sasa, biashara ni uzoefu,maarifa na uvumilivu pia.
Binafsi Kwa hiyo pesa Kwa kutumia maarifa na uzoefu wangu wa biashara mbalimbali,naweza tukafanya biashara Kwa ushirikiano na wewe na tukawa tunapata faida...
Njoo tufanye biashara ya Dagaa na nafaka...,usimamizi na uendeshaji ni juu yangu...wewe kila mwezi utakuwa unapata faida ya 7% ya mtaji wako utakaoweka kwenye biashara,
Mikataba ya kisheria tutaandikishana ili kulinda masrahi ya pande zote, UAMINIFU ndo cha muhimu sana kabla ya yote.
Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.