Recent content by Dyelee

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Ni mtizamo t lakn kila mtihan unatungwa kutokana na matakwa ya watungaji ili kupima uwezo kwa kutegemea materials za kufundishia
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Uwezo t kiongozi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Mkuu nahisi kama unapotosha umma lakni ikumbukwe mitihan ya mwak huu ilikuwa inahitaji ustadi sana wa kuchambua na kulielewa swali ili uweze kujibu la sivyo weng walijibu tofaut na swali (out of point) OP
  4. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Official majina ya mkop yametangazwa mweny pdf aweke hapa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliopita UDSM na UDOM

    Mkuu apo kweny mjanja mjanja vip sijakuelewa ujanja upi
  6. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Wakuu vi huko account za udsm sua na udom hali ikoje tayar au tujue
  7. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Wakuu tunarushana roho viongzi vimetema kwel mana vyuo vinne mtu unakosa vyote
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimekosa chuo, nina wazo la kuomba pia kozi ya Diploma

    Mbna kama unafoka mkuu
  9. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Shukrani kiongozi hhha
  10. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Sua tayar wakuu
  11. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Na upande wa sua vp kwa aliyekosa wanaandika vp
  12. D

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Wakuu naombeni kuuliza second round watatoa nafasi zilizobaki au vp ani selection ya coz
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

    Mkuu upo sahihi nimebahatika kufika iramba ni hatar sana
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kozi iitwayo 'Barchelor of Health Information System'

    Ajira zake ni wap hospital au wap kk
Back
Top Bottom