Recent content by dyeanka

  1. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati na aliyekuwa mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandela afariki dunia

    My deepest condolences
  2. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Mandojo apewa milioni 6 na diamond kama msaada

    Hivi ungekaa ukandika vizuri watu wakakuelewa ingekuwaje? Ulikuwa unawahi wapi mkuu
  3. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu: Ushiriki wa sekta binafsi katika Tanzania ya viwanda, Mengi akosoa ukadiriaji kodi kandamizi wa TRA

    Mh. Rais alivyokasirika sijui kama waranusurika kwa kweli. Gata KM kweli hakweza kuwakilisha waziri kwenye mwaliko wa mkuu wa Nchi.
  4. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kuondoa Malipo ya Mishahara ya watumishi wa Umma kupitia NMB Bank na kupeleka BANK zingine.

    Una hoja nzuri lakini ungetulia ukaandika vizuri tuliwe kwa hoja yako
  5. dyeanka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Raila Odinga kugombea Urais Kenya 2022 kupitia chama tawala cha Jubilee

    RAILA Odinga anatoka katika moja ya familia maarufu kisiasa nchini Kenya. Baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga, alikuwa mmojawapo wa watu muhimu katika uwanja wa siasa nchini Kenya wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana 2017, na ndiye alikuwa mpinzani mkuu dhidi ya Rais Uhuru Kenyata ambaye...
  6. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

    Tukiachilia mbali siasa Bashe anajitahidi kutekeleza wajibu wake kama mbunge wa Bunge la Mungano.
  7. dyeanka

    JamiiForums Tanzania UN Umoja wa Mataifa yaipongeza Tanzania kwa Amani iliyonayo

    Tuweke siasa kando, pia Lugha za matusi sio utamaduni wa Mtanzania
  8. dyeanka

    JamiiForums Tanzania UN Umoja wa Mataifa yaipongeza Tanzania kwa Amani iliyonayo

    Organisation kubwa kama UN wamefanya evaluation wakona Tanzania miongoni mwa Mataifa ya Africa inaamani kwanini unatakankuwaaminisha watazania kuwa hatuna amani? Hivi umeshawahi kuona au kuskia nchi zenye machafuko? Tuache siasa. Tanzania we are proud kwa amani na upendo tulionao. Haya...
  9. dyeanka

    JamiiForums Tanzania UN Umoja wa Mataifa yaipongeza Tanzania kwa Amani iliyonayo

    Kupitia taarifa ya habari ya ITV muwakilishi wa Umoja wa Mataifa amempongeza Rais Magufuli kwa kuilinda amani ya Tanzania. Muwakilishi huyo alikuwa anazungumza na walinda amani huko DRC, ameziasa nchi jirani kuiga namna Tanzania inavyolinda amani yake hasa pale wanapowasha mwenge kuaishiria...
  10. dyeanka

    JamiiForums Tanzania AJALI: Msafara wa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole wapata ajali mkoani Kigoma

    Tuwaombee watanzani wenzetu
  11. dyeanka

    JamiiForums Tanzania South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

    Taarifa za kuaminika kutika BBC zinaeleza zinaeleza Zuma amejiuzulu muda mfupi uliopita.
  12. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Picha za Lowasa na Kingunge wakiwa na umri wa 30's ni umri wetu wengi humu

    Ufafanuzi Lowassa ndionyupinhapo?
  13. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Serikali yabadilisha kampuni ya TTCL kuwa Shirika la Umma

    Good news ,hongereni sana serikali kwa hatua hiyo. Nafikiri lengo zuri la kujiendesha kibiashara kwa shirika hikia la umma.
  14. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya, Mikoa Vs Mawaziri

    Nimemekuwa nashangazwa pale ambako mkuu wa Wilaya au Mkoa kumpigia kampeni mgombea ubunge watu wana lalamika sana kuwa ni viongozi wa Umma na sheria yanmaadili yanviongozi wa umma inakataza. Vipi kuhusiana na Mawaziri wao sheria ya maadili ya viongozi wa Umma haiwahusu? Miongoni mwa watumishi...
  15. dyeanka

    JamiiForums Tanzania Dr Shein: Nitaondoka nikimaliza muda wangu wa kikatiba, swala la miaka 7 linazungumzwa BLW siwezi kuwaingilia!

    Tanzania nchi yangu yakidemokrasia, miaka 5 itapendeza saba yanini?
Back
Top Bottom