Unaposema eti wamepewa vitengo vinavyowaficha kisiasa si kweli..!
Unamkumbuka Agustino Mrema? Wizara ikiwa na matatizo mengi ndio mtaji mzuri sana kwa mwanasiasa kujijenga, kwani ukifanikiwa kuyamaliza ni lazima utaongeza umaarufu zaidi na kuwa tishio.
Lkn wote hao wanafeli kwa sababu hawana...
Kuendesha gari isiyokuwa na insurance siyo kosa km utakuwa na cash, kwani ata sheria haikulazimishi kukata insurance endapo unauwezo wa kulipia tatizo lolote utakalo kuwa umesababisha.
Yaani ni muhimu kuwa na bima,lkn si lazima.
Mfn: Kila raia ni muhimu kuweza kuwa na bima ya afya ili uweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.