Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Naona hilo neno limetamalaki sana kwenye matibabu ya Lissu. Nilianza kulisikia kwa Mbowe nikaja kulisikia tena kwa Msigwa, hebu kuweni wawazi mnamaanisha nini?
Pamoja na kwamba tafsiri yake inafahamika lakin kwanini iwe kama wimbo? Hebu mtoe taarifa rasmi ya hali ya Lissu kwa lugha zinazoeleweka kwa kila Mtanzania maana mnatutia mashaka.
Suala la Lissu lisije likawa ni daraja la kutunisha mifuko.