Huo ndio ujinga tusioutaka humu ndani kufuatilia maisha ya mtu alie kwenye ramani ya nchi kuliko ndugu yako yyte, ongea points sio kuanza ongerea mtu jina lake lipo kwenye ubongo wa raisi. Je wewe nani anakujua?
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nadhani hapo ktk alama ya brigadia genelari na meja genelari hizo alama kwa sasa km zimebadilishwa,kwa sasa brigadia gen anakua na ngao ya bibi na bwana kisha nyota 1 kisha mkasi.na meja generali ana alama ya ngao ya taifa kisha nyota 2 kisha mkasi.ruten genelari ana ngao nyota 3 na mkasi na...
Aliecgagua km kipofu labda ni baba yako na mama yako wtz tunajitambua na ndio maana tukamchagua magu na kuwaacha watu wanaongozwa na akili ndogo DJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumei play na kuichunguza ni kweli hakuna editing,halafu kwani ni mara ya kwanza gwaju boy kuyafanya hayo,je na hile skendo ya kuzaa na bint mwehu kidogo pale chai bora kwa nini gwaju alikataa kupima DNA mbona issue ya madawa kzkubali kupima faster,husitufanye mazwazwa sisi tuna uelewa kuliko...
Acha ungese wewe gwajima ana utaramu gani au elimu ipi kuweza kuongea hayo,sisi tunamjua muda tangu alipokua akiishi msewe kwa kina zarau hana lolote ni wajinga tu wanaomuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa ukisikia coment za kijinga na kipumbavu ndio hio big hup mtu mjinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muro kiukweli anajizalilisha na anazalilisha mamlaka hiliomteuwa ombi kwa serikali muro hasitake tuichukie ccm yetu kwa upuuzi wake,mtu mzima mweshimiwa anaweka hadhalani eti kamsaidia haji wakati anaitaji matibabu hivi tujiulize sisi watanzania huu utamaduni wa kumsimanga mtu wakati alipokua...
Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi[emoji3480]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.