Labda JPM apunguze tafsida maana inaonekana JK hakuielewa kauli ya kwamba "Watu wamesafiri safari nyingi za nje, kuliko hata kwenda kuwasalimu wazazi wao kijijini"
Kwa upande wa miradi ya ujenzi tu, unajua kuna wakandarasi wangapi wanaidai nchi hii na miradi mingapi imesimama kwa ajili ya hilo? Unajua kuwa Serikali inadaiwa hadi stationary! Leo hii unasema safari za nje zilikuwa na tija! Alipoenda na wafanyabiashara 500 nje ya nchi kwa gharama za serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.