nahitaji mpenzi wa kike ambae tutakuwa na mahusiano ya kimapenzi na awe na sifa zifuatazo:-
1.elimu ya kawaida tuu inatosha.
2.anaejitambua siyo muhuni.
3.dini yeyote ile ila asiwe mpagani.
4.umri 35 hadi 40 yaani mtu mzima mwenye heshima
5.kwa mawasiliano namba ya simu ni pm siwezi...
hizo ndio zetu wap dogo suma,wapi msaga sumu,wapi mario swaga mpooo!!!! endeleni kutupa radha kama vile"kidole changu cha ......, au ukuti ukuti wa meme wa meme ingia upepo wa tetema ati ingia upepo wa tetema " katika hili jamani eleweni sisi watu wa pwani hizi sherehe za vigodoro ni matokeo ya...
Nawaombeni sana ndugu na jamaa wa RICHARD MICHAEL WAMBURA kaeni chini na ndugu yenu mumwambie aachane na masuala ya simba yatampotezea muda simba sio kanisa wala msikiti kwa kifupi simba siyo nyumba ya ibada
"Natumia nafasi kumpatia au kumshauri kaka yangu,ndugu yangu kuwa kwa hali jinsi ilivyo na inavyoonekana kuwa wewe hutakiwi hata kugombea ujumbe wa tawi la simba sports club sio uenyekiti tuu hilo naomba ulielewe kwa dhati kabisa na hili linatokana na misimamo na mikakati yako ya kutaka kila...
kama utaratibu ndio huu kuwa kila anaeiba anauawa basi tuuendeleze hata kwa mafisadi maana huyu kafa kwa wizi wa vijisenti tunasheherekea na tunawaona askari wetu jasiri vipi wale walioiba mabilioni ya epa wafungwe miaka 3,vp wale walioagiza vipimo feki vya h.i.v na kujipatia mamilioni kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.