A man 35-45

A man 35-45

Natafuta mwanaume ambae badae aje awe mume kama Mungu atatubariki.

Awe na ajira,

Mwenye hofu na Mungu na upendo.

Mimi ni 30+ sina mtoto wala sijawahi kuolewa kwa mengine zaid please PM..

Kwa walio serious tu na kama wewe huamini mapenzi yanaweza patikana kokote basi naomba kiustaarabu ruka huu uzi si lazima kukoment negativity yako haihitajiki.

mimi nimehamia Msata je nitafute nauli nirudi DAR????????????
 
nina kaka yangu yupo na 35,hajaona ila ana watoto wanne kila mtoto na mama yake.
 
hahahahahaha kama kweli mapenzi yanapatikana popote mbona watu hamrudi kushukuru JF kwa kuwafanya wapenzi,nshaona matanga kama haya karibia elfu 10 hapa,samahani lakini kama nimekukera
 
Mtu anaemuhofia mungu hawezi kuanza kuzini naww halafu baadae ndo awe mumeo
Natafuta mwanaume ambae badae aje awe mume kama Mungu atatubariki.

Awe na ajira,

Mwenye hofu na Mungu na upendo.

Mimi ni 30+ sina mtoto wala sijawahi kuolewa kwa mengine zaid please PM..

Kwa walio serious tu na kama wewe huamini mapenzi yanaweza patikana kokote basi naomba kiustaarabu ruka huu uzi si lazima kukoment negativity yako haihitajiki.
 
hahahahahaha kama kweli mapenzi yanapatikana popote mbona watu hamrudi kushukuru JF kwa kuwafanya wapenzi,nshaona matanga kama haya karibia elfu 10 hapa,samahani lakini kama nimekukera
wala hujankera ila nahc nkipata ntakuja kushukuru shaka ondoa
 
  • Thanks
Reactions: lin
wala hujankera ila nahc nkipata ntakuja kushukuru shaka ondoa

Nimefuatilia majibu yako katika post hii, nimeona dalili fulani za hulka ya mwanamke. Naelekea kwa PM sasa hivi. Hebu twende
 
Jitokezeni basi jamani,mwenzenu yupo serious
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom