Recent content by duocore

  1. duocore

    Mhe. Rais Dkt. Magufuli Hongera, Mkutano wa Paris. Ushauri wangu

    Asante ndugu kwa kutoa ufafanuzi wa hoja yangu kwa mheshimiwa Dkt. Magufuli. Kimsingi hapa tulipofikia tumempata mchapa kazi. Kwa mtazamo wangu bado hatujafikia pahala pa kuanza kusingizia suala la mabadiliko ya tabia ya nchi. Bado tuna nafasi ya kufanya mabadiliko kwa kuangalia pia hatua...
  2. duocore

    Mhe. Rais Dkt. Magufuli Hongera, Mkutano wa Paris. Ushauri wangu

    Natoa hongera zangu kwa Mhe. Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni siku chache tangu aapishwe katika nafasi hiyo na mabadiliko yameanza kuonekana. Hivi sasa kuna mkutano wa kimataifa unaendelea huko Paris kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi. Mhe. Rais nchi yetu pamoja...
  3. duocore

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Hongera sana Rais wetu Magufuli. Nchi hii imejaliwa rasilimali zote zitakazotajwa duniani. Kwa nini watu wateseke? Kwa nini watu wafe kwa kushindwa kununua panadol? Tungepata testa ya kupima kila kaburi leo ili kutambua kilichosababisha vifo vya wapendwa wetu tungesikitika sana. Vifo vingi...
  4. duocore

    Ugonjwa wa Typhoid unanitesa, nahitaji dawa ya asili

    Ndugu asante kwa kunijulisha. Nimejaribu kupiga namba ya simu ya Adolf 0652393393 system inasema namba hiyo haipo, tafadhali Adolf tupatie namba ili tuwasiliane tafadhali tunateseka sana na ugonjwa huu
  5. duocore

    Ugonjwa wa Typhoid unanitesa, nahitaji dawa ya asili

    Salam wana JF. Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena. Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya asili inaitwa songwa...nyanya pori. Wana JF kwa mwenye kuijua dawa hii na namna ya kupatikana...
  6. duocore

    Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

    Wana JF hongereni kwa ushauri na mijadala yenye kusaidia jamii. Nasumbuliwa na malaria mara kwa mara, nahisi usugu umejengeka sasa. Naomba mwenye kujua dawa ya asili anijuze ili na wengine wapate kupona. Mungu awabariki
  7. duocore

    Madiwani wa Ileje wapata Elimu ya mafunzo

    Mkafukaghe! Nhinhi!! Kwakwakwa!!!
  8. duocore

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Mbaya zaidi ugonjwa huu umebaki midomoni kama siasa tu. Kuna mwanaJF mmoja aliwahi shauri kuwa serikali iangalie uwezeka wa kuwatafuti "UKIMBIZI WA MAGONJWA" wahanga wa magonjwa ya typhoid na malaria sugu katika nchi ambazo hazina magonjwa haya hususani nchi za baridi. Nafikiri pia dawa hiyo...
  9. duocore

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Ni kweli ndg. Endelea kusaidia watu, haya magonjwa sasa tishio. Afadhali uugue UKIMWI kuliko typhoid na malaria.
  10. duocore

    Dk. Mwakyembe: Ninajitoa mhanga katika mapambano ya madawa ya kulevya nchini

    Wasira upo? Tehetehe!!!! Heheheheiya!!!! Kwikwikwi!!! Loh! Nnecheka mpaka makamasi yanentoka.
  11. duocore

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Lol! Na bado. Enewei CCM kupitia Nape na CHADEMA wamekuwa kinyume. Nakumbuka kauli ya AG "hatukupewa vichwa ili tufugie nywele" Hii ndiyo exit point ya CCM. Nakumbuka swali hili kwenye somo la History "The colonial rule planted the seed of its own destruction". Discuss. Swali hili naliona likiwa...
  12. duocore

    Serikali: Noah ruksa kubeba abiria

    Sisi wenye magari ya NOAH tunakupongeza kwa kauli uliyotoa bungeni. Sasa wenye hureeee!!!! tuweke chata ya Mwakyembe kwenye NOAH zetu.
  13. duocore

    TBC yarudi kwenye udhaifu wa TVT

    TBC ilipopewa jina hili iliboreshwa sana, lakini leo imerudi kule enzi za TVT. When will we wake up? Kwenye dhifa za kitaifa maonesho ya moja kwa moja mara giza na kwamba "battery low"...anyway. Bado siye wachanga na kwamba hatuwezi kujifujinza kwa wengine...basi ni vilema.
  14. duocore

    MALARIA: Kuwepo mjadala wa kutosha kuhusu janga hili

    Wana JF nachukua nafasi kutoa yangu yaliyo moyoni. DCI Manumba karejea nchini baada ya kuugua malaria na kulazwa Muhimbili, Agha Khan TZ na Mill Park SOUTH. Hii ni ishara tosha kwamba malaria ni janga. Dawa kwa majina tofauti zimekuwepo lkn malaria bado inasumbua. Cha kushangaza ni kuona ugonjwa...
  15. duocore

    Mgogoro wa wananchi kijiji cha Manchali na Chalinze, Chamwino Dodoma

    Hivi karibuni kumekuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa kijiji cha Manchali na Chalinze Dodoma. Mgogoro huu umechochewa na mradi wa umeme ambao umeelekezwa katika kijiji cha Manchali na kwenye pampu ya maji iliyo kijiji cha Chalinze. Mgogoro huo ni juu ya maji na umeme. Je, ni busara ipi...
Back
Top Bottom