Recent content by Dunyua

  1. D

    Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

    Kuna stori ya Mhehe mmoja zamani wakati wa Mwalimu Nyerere akiitwa Mwamwindi Ismani huko Iringa aliua sijui RC au DC yule Kleruu sababu ya kuaibishana au kuleteana dharau eti sababu tu ya ukubwa na madaraka. Kama hili halitarekebishwa basi mfano unakuja.
  2. D

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    Mkuu nakuelewa vyema kuna Sanaa na Sanaa, hizi za asili za kwetu sijui kama tumefikia wasaani nguli kwenye fani hiyo kuwa na ulazima wa kujua teknolojia za kisasa maana ubunifu wao hautegemee teknolojia. Nakuelewa sana Mkuu. Ila upande mwingine tudumishe Sanaa ie muziki wetu wa asili ambao ndio...
  3. D

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    Kujua kutumia computer sio kigezo, sidhani utasema Marehemu Morris Nyunyusa ambae nina Imani hakuwa anajua kutumia computer au hata kama alikuwa na elimu hii ya kisasa, basi hakuwa msanii Gwiji!!! Hivyo naweza sema Marehemu Dr Hukwe Zawose, Marehemu Mwinamila na magwiji wengine wa Sanaa.
  4. D

    GE2020 Askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anatosha Kawe ana vigezo vyote!

    Mara tu kashapata wadhifa wa kuitwa Dr...? Sifa moja wapo ya kuwa Mbunge nafikiri...Kazi ipo Tanzania yetu!!!
  5. D

    GE2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

    Naapa mabadiriko nayataka!!!! Lakini sio kwa kuongozwa na Lissu, hana kanuni na hii ya kudhani kuwapendeza Wazungu na kujitia maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya Baba wa Taifa, nasema hata kama atashinda na kuchukua dola tutakuja zungumza mengine. Sio mkweli, tunza haya!! Naona nivute subira...
  6. D

    Rais Magufuli: Your Excellence I'm trying but I can't reach you

    Inawezekana unachokisema….lakini hakina mahusiano na suala la matumizi ya lugha ya Kiingereza nafikiri.
  7. D

    Rais Magufuli: Your Excellence I'm trying but I can't reach you

    NI kweli umeenea dunia nzima lakini sio lazima uwe mfuasi wa utamaduni wa Kizungu kuweza kutatua matatizo yako kama Binadamu nafikiri hilo liko wazi.
  8. D

    Rais Magufuli: Your Excellence I'm trying but I can't reach you

    WaTanzania hebu tuache huu upuuzi wa kuhusisha kujua lugha ya Kiingereza kama kigezo cha uelewa wa mtu…!!! Ni ushamba na ndio haswa tafsiri ya Utumwa. Inasikitisha sana kama mpaka karne hii bado tunajadili hili. Tunashindwa hata kujifunza kwa jamii za watu wengine waliopiga hatua kubwa sana...
  9. D

    Hapa ndipo Tundu Lissu alipoachana na wazalendo wa nchi

    Hili la kwenda nje na kuongea vibaya kuhusu Taifa letu sio siri limesumbua wengi hata wale tulio na hasira sana na chama tawala. Ina maana L alikuwa hajui analofanya au....? Na kuna lile la kumtukana na kumshutumu Baba wa Taifa!!! Ngumu sana…….
  10. D

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Nakubaliana na wewe kuwa Marehemu Mabera ndio aliemleta Bitchuka Nuta. Sawa kabisa!!! Nuta pia kulikuwa na kijana mwingine mpiga gitaa la Rhythm akiitwa Abdallah "Dulla" Omar ambaye kwenye nyimbo kadhaa utamsikia Bitchuka akimwita, hususan wimbo wa Mume Wangu utamsikia Bitchuka akisema ahsante...
  11. D

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Mkuu kama nimemwelewa alieleta uzi alikuwa anauliza wanafunzi wa kwanza kwenye kitivo cha sheria. Prof Banyikwa (RIP) hakusoma sheria alikuwa wa Elimu Mimea (Botany). Au labda sio huyo... Shukurani
  12. D

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Mtunzi na mpiga gitaa la solo mahili sana Mabera!!!! Mungu amlaze pema. Amefariki akiwa na umri gani? Tangu Enzi za Nuta Jazz nyimbo kama Nidhamu ya Kazi, Mpenzi Zarina, Nisingekukimbia Mpenzi na vibao vingine vingi Enzi hizo tutamkumbuka sana Said Mabera na wengine waliotangulia mbele za haki...
  13. D

    Kumbukizi ya Mwanahistoria Profesa Wamba Dia Wamba

    Ahsante sana kwa hii…..tuhimize tu maandiko yake yachapishwe ili yawafikie wengi na mitizamo yake ije ichangie kwenye kujenga fikira kwa kizazi kijacho cha Waafrika. Professa Wamba alikuwa kati ya wasomi wenye mitizamo asilia ya kiafrika itakuwa hasara sana kama fikira zake zitapotea pasipo...
  14. D

    Napendekeza TCRA wapige marufuku matangazo ya BBC nchini Tanzania. Wameitukana kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

    Francis Da Don Kabisa Aisee yaani ilikuwa kama kusema "mi naweza saini mikataba hiyo lakini kuna kizingiti, tukitoa hicho itakuwa poa sana" Na baada ya kizingiti kutoka, kweli ikawa!!! Kutoka hapo Shamba la Bibi. Tanzania itakuja siku watu watabidi wajibu maswali magumu sana hata kama watakuwa...
Back
Top Bottom