Recent content by Dunga_mawe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wajenzi wa nyumba za kisasa

    Asante pia kwa kujali karibu sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wajenzi wa nyumba za kisasa

    Je, unatarajia kujenga nyumba yako hivi karibuni? Na unataka kujengewa nyumba ya kisasa kwa uaminifu na ubora unaohitajika? Kama ndivyo basi hujachelewa na tayari umetupata MODERN HOME BUILDERS ambao sisi ndio watu sahihi wa kukujengea nyumba ya ndoto zako na hitaji la moyo wako. Sisi MODERN...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana Amedhalilika sana

    Kwa jeuri niliyonayo napofanyiwa madharau,ningeondoka ukumbini kabisa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Wacha janjajanja tafuta hela pikia watoto pilau wale😂
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Mkuu fungua PM Tutete kidogo🙏
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Bro ni kweli una ushauri mzuri ila hakuna mtu anaependa kutafuta kazi mitandaoni ni maisha tu ndo yanafanya hivi,tunajarbu kila njia kaka
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa. Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinasaidia kumpata mpenzi wa kudumu naye?

    Labda utume na kapicha kako mkuu tujue tatizo liko wapi🫣😂
  9. D

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinasaidia kumpata mpenzi wa kudumu naye?

    Ingia Facebook tafuta page ya iddi makengo naamin utapata mwanga
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Uki Tupiwa jini utamlaumu nani Ukitupiwa jini utamlaumu nani
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar es Salaam/Kariakoo wananunua laptop?

    Picha yake tafadhali maana mimi nahitaji laptop
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kumhamisha shule mwanafunzi aliyechaguliwa kidato cha tano

    Kwa maslahi mapana ya taifa muhamishe mazingira ya pcb nlivyoyaeperience ukimix na viuno kwisha habar yako
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Mkuu nakuunga mkono muache tuu,inauma bora angekaa kimya mimi tu ambae ni msomaj naumia hivi je wewe muhusika duuh piga chini itafute amani ya moyo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Punyeto imeua uume wangu

    Jipe mda pia fanya mazoezi ya kegel yanaweza kuwa msaada kwako
Back
Top Bottom