Recent content by dumesuruali

  1. dumesuruali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukininyima nakununia mwaka mzima

    Shida imeanzia hapa Mr Objective Football..
  2. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    alishatoka Manyara muda sasa.. Yupo Rukwa huko.
  3. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna barabara ina trafiki wengi kuzidi Arusha - Moshi?

    Kilometa 5 nyingi sana…wanaachana umbali wa mita zipatazo 100 au 200. Bila kuwa poti mwenzao Arusha-Moshi hutoboi bila kuacha ya kipigia kiwi.. Na kubambikiwa speed zaidi ya 50 kwenye tochi zao ni kawaida kabisa..
  4. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Ni kweli kabisa. Kuanzia vile vidada vyenye sura ngumu pale mapokezi mpaka madaktari ni kufanya kazi kwa kujuana tu. Nilimpeleka mwanangu pale wiki mbili zilizopita nimekaa reception lisaa lizima ikabidi niende kuomba kadi ya bima ya mtoto nikaondoka zangu. Utashangaa tu kuona wanakuja watu...
  5. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Bila bila dakika ya 84 sasa.
  6. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mwanaume kuishi na Dada wa kazi nyumba moja?

    Kimsingi hapo unaoa in advance..🫡
  7. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Mirungi ni hatari ya akili kuliko pombe na bangi

    Its a weekend Kaka ake shetani… Karibu tuitafute Jumatatu..#Full Handasi..[emoji95]
  8. dumesuruali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Maneno matupu hayavunji mfupa... #dumesuruali...
  9. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Tanga mjini

    Dolphin Hotel au Nyinda mitaa cha Chuda..
  10. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu Juni

    unakopesha elfu tatu halafu the girl unampa elfu kumi??ndugu 'ulfu 23'[emoji23][emoji23] [emoji119]
  11. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    nauli Arusha- Dar elfu 40 luxury.. Utachangia mafuta ya shilingi ngapi? au lengo lako ni kusafiri na private car?
  12. dumesuruali

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huu mtihani

    baharia anaomba ushauri...badili Id. #dumesuruali...
Back
Top Bottom