Recent content by dume la kenge

  1. dume la kenge

    Mke wangu anataka kuniua

    Huwa mnaweka dogoro sakafuni ili kuzuia kelele za kitanda
  2. dume la kenge

    Wabunge Lema na Nassari watoa ushahidi wa DC na Mkurugenzi Arumeru walivyowarubuni Madiwani 10 wa CHADEMA waliohamia CCM

    Huyo jamaa hana lolote kichwani mwake bora tu uachanenaye. Anataka kutuambia kwamba hana saa wala simu?. Sim umetoa betry inaonesha miaka hiyo iliyopita mpaka uiseti!! Hawa ccm bwana
  3. dume la kenge

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Vijana wanafanya maandalizi ya kufa mtu. Leo ndo leo
  4. dume la kenge

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hawa vijana wawili ni shida
  5. dume la kenge

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na walianza kwa nguvu nyingi sana tuseme tu chelsea pia wana nguvu na akili
  6. dume la kenge

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Vijana wanajiandaa
  7. dume la kenge

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Iko poa sana hii lineup yako hasa pale midfied cante na bakayoko wanaelewana sana
  8. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    870000 lakini hizo bei unazoona sio fixed price.
  9. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    Jamani muacheni msimchambe na kumcheka sana. Tv na ya startimes kama startimes.haina uhusiano na hayo macampuni anayojaribu kulazimisha.
  10. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    Ongeza dau kidogo uchukue mzigo mkuu
  11. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    Ina kila jitu
  12. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    Ongeza dau kidogo uchukue mzigo mkuu
  13. dume la kenge

    Nauza tv flat screen 40 inch

    Ok kama uko serious na una hela mkononi basi ntachukua 720000
Back
Top Bottom