Hujanielewa hata kidogo. Mimi nilimshauri Zitto asome vitabu vya "Civil War" ili atakapo kuwa mzee aweze kuwa msuluhishi katika nchi zenye Civil War katika Afrika.
Tanzania kamwe hatuwezi kuwa na Civil War kwa sababu FaizaFoxy atahizuhia isitokee na atakuwepo kuzuhia civil war katika nchi hii...
Mimi kama binadamu mwenye uwezo mkubwa wa kufanya predictions ninakushauri uanze kusoma vitabu vinavyohusu civil war na political crisis.
I have never ever doubted your mental intelligence, so it goes without saying that Zitto has understood me very well and he knows very well that it is...
Sitaweza kuhudhuria kongamano la uchumi linalofanyika UDSM, hatahivyo maoni yangu ambayo ningeyatoa kuhusu ukuaji wa uchumi kama ningeweza kuhudhuria kongamano ni kama ifuatavyo:
"Uchumi unakua kwa kasi kubwa sana kiasi kwamba mabenki na makampuni yanafunga biashara, yanapunguza wafanyakazi na...
Ustarabu wa ku copy na ku paste ni kwamba lazima uoneshe source ya habari hiyo. Hata mimi hii thread ya uchambuzi wa kisheria nime copy na ku paste na nimeonesha kuwa nime copy na ku paste kutoka mtandao wa Kenya Talk. Ukishindwa kuonesha sources presumption ni kuwa thread ni yako.
Hayo sio maelezo yangu, huu uchambuzi nimeutoa kwenye mtandao wa Kenya Talk, hivyo sina uwezo wa kukujibu kuhusu swala hili. Ninachoweza sema tu ni kwamba sikubaliani na maelezo yako bali nakubaliana na uchambuzi huu wa Kenya Talk.
SOURCE: mtandao wa Kenya Talk
SIKUBALIANI NA MAJIBU YA MWANASHERIA KUHUSU SERVICE LEVY YA KOROSHO.
Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Dr. Kilangi, gwiji na mbobezi wa sheria ninayemheshimu sana tena sana lakini sikubaliani na majibu yake kuhusu swala la Cashewnuts Export Levy. AG ametoa hoja...
Ndugu nothing is permanent under the sun, so it is the fear, hivyo visasi vikitoka kifuani nakuja katika uhalisia wake amini amini ninakuambia utailaani hiyo siku ambayo ameuwa na utamlaani kila mtu aliyeshiriki kumua na hata unaweza kujilaani na wewe unayeshabikia kifo cha Tundu Lissu na...
Hacha upotoshaji wewe hakuna mtu mfungwa wa kisiasa ambaye anafungwa bila kutenda kitendo au kusingiziwa kutenda kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi husika. Nelson Mandela na wenzake 7 walifungwa kwa kukutwa na hatia ya kuvunja Kifungu vya sheria zifuatazo;
(1) Section 21 (1) cha the...
Si umesema Lissu atumikie watu wake kwa namna nyingine, what if atasoma alama za nyakati na kumikia watu wake kwa namna nyingine ambayo itakuwa ni kutumikia watu wake kutoka msituni, kwa kufanya hivyo pia atakuwa amefanya kama ulivyomshauri, ushauri wako unaweza kuutafsiri hivyo na Lissu.
Kwa taarifa tu kwa ndugu mtoa post Pascal Mayalla, pamoja na kwamba Tundu Lissu amehudumu nafasi ya Rais wa TLS kwa takribani kipindi cha miezi 6 tu lakini kwa muda mfupi huu amefanya mambo mengi sana kuliko marais wengi ambao wamepita kwa kutatua kero ambazo mawakili wamekuwa wakizilalamikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.