Habari wakuu,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. naombeni kama kuna mafundi wanajulikana wa kuchimba shimo la choo.
1.) site ipo kigamboni
2) kazi inahitajika kufanyika mwezi wa kwanza
3) uwezekano wa kuweka kambi upo.
kutoka kwa fundi.
1) ulete kazi ulizofanya kwa njia ya kuweka picha za...
That's What Friends Are For..., by, Dionne Warwick, Stevie Wonder, Gladys Knight, and Elton John.mp4 - YouTube
haya kwa wenzetu wenye marafiki na unadhani anastahili hiki chombo. usisite ni kizito kuliko chuma :-)
Dah! wanaweni mi naomba niulize!! hivi hapa kwetu hizi kadi zetu za visacard/ master card - hazina card number, date and the year of expire?? kisha nyuma ya kadi kuna 3 digits ambazo unamalizia kisha wire yoyote ile international inakubali bila kuongea au kujadiliana na benki as long kwenye...
Mkuu jina la kottler na utangazaji wako wa biashara haviendani! kama ulivyoweka size za mbao, ungetuwekea na bei zake watu wakajua wakipiga simu haitokuwa upotevu wa vocha.
Mkuu mi naona bora utafute mada zingine za kuzungumzia ili taifa liendelee. Ingekuwa vizuri ukajaribu kutia changamoto kwenye kodi zinazokusanywa za watanzania waliopo nchini zinatumika vipi kabla hujaanza kutafuta mfarakano na wanaoishi nje! ama mzee na wewe upo katika ukusanyaji?
Na...
kama kichwa cha habari!Jirani yangu shambani anauza pande lake la shamba lipo kigamboni mbele Ya Dar Zoo takriban km 2. bei ni Tsh. 5.7M kwa mwenye kuhitaji PM kwa maelezo zaidi.
siku njema.
DullyM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.