Kiwanja kinahitajika haraka

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
wadau KIWANJA cha kununua KINAHITAJIKA HARAKA sana maeneo ya kinyerezi, tabata segerea, ni PM tufanye biashara
 
mkuu nikuongezee tuu!kiwanja unachotaka kimepimwa?au hakijapimwa?umbali kutoka barabaran?gari inafika?pia budget yako ni kias gan?manake utapigiwa simu kumbe milion 200.rekebisha tangazo lako tafadhali
 
Usiweke haraka kwenye issue kama hizi mkuu.
unaweza kuingizwa mjini kwa haraka, take time ku-deal na issue kama hizi
 
asanteni wadau, mm eneo ninalotaka ni hayo niliyoyaonyesha hapo na si penginepo
 
Kuna ambaye thread yake ipo humu embu mcheki ......kiko osterbey dola mil 450!!
 
Mkuu Shark ile kitu yetu mboni ulianiacha nalinda kichuguu kaka ?!??!

Kaka hukuona missed call zangu na sms that day?? Nilikupigia sana ili unipe mtu wako but huku-respond so nikaishia kwenda mwenyewe. Anyway, mi nlipata kwingine kwa 15m that day.
May be nkupe namba ya mtu wa kule uwasiliane nae direct kaka yangu.
 
Mie pia nahitaji kiwanja kikubwa kilichopimwa, hiwe tegeta bunju, ununio,bweni, offer yangu kisizidi mil 10
 
Kipo chenye ukubwa wa 20miguu kwa miguu 40, baada ya kinzudi. Kwa hiyo bei yako ila hakijapimwa. Kama mnunuzi kweli ni pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom