mashamba/viwanja kigamboni eneo halifikiwi na mradi wa bush | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashamba/viwanja kigamboni eneo halifikiwi na mradi wa bush

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mama cha, Apr 17, 2012.

 1. m

  mama cha Senior Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nusu eka sh 5mil. Ni umbali wa km 18 kutoka ferry kigamboni. Sereous buyer pm
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Ni shamba au kiwanja?
  Umbali gani kutoka Kongowe Road?
  Miundombinu ya Umeme, barabara, maji n.k ikoje?
   
 3. m

  mama cha Senior Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna umeme wala maji as wote wakazi wa huku 2nachimba vicma virefu. Barabara hadi shambani
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I smell a rat.
  Hilo eneo linaitwaje?
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni upande wa bahari au opposite?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamani, master plan imeshatoka?
   
 7. DullyM

  DullyM Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hapo napo!!
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Bush kaingia Dar, sio eneo lake hilo?
   
 9. m

  mama cha Senior Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuhusu master plan cna uhakika since yale yalikua mapori na 2linunua kwa bei ndogo kama mpango wa serikali ya kijiji kupunguza mapori, eneo lipo kituo cha mwembe mtengu 3km frm main road ya kongowe karibuni.
   
 10. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi nakushauri wewe kaka unayeuza hiki kiwanja /shamba kigamboni kwamba ingekuwa vyema wewe mwenyewe ukaenda Ardhi nakupata uhakika kwamba kiwanja au shamba liko katika eneo ambalo halina mgogoro
  kwahiyo unapotangaza kuuza basi hata mnunuzi unamhakikishia kwamba hatapata shida yeyote
  Asante ni ushauri tu
   
 11. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi nina 3 Miillion tu unasemaje kama nikiisha kamilisha kukichunguza hicho kiwanja au shamba?
   
 12. m

  mama cha Senior Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa ushauri nakushauri hiyo hela kanunue bajaji
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Nusu heka kwa Lugwadu bado sana,hapo mwembe mtengu mtafute dalali tall atakwambia nina hekari tano huko lugwadu,heka 1 lugwadu ni mil 1
   
Loading...