kiufupi kuna maeneo ukiamua kuyatolea macho basi ujinga wako unaonekana hadharani,kama eneo hili la rais wa TFF,
inahitaji uwe mjinga kwa asilimia mia moja ndio useme kuwa Karia hafai kuwa kiongozi wa TFF ....
itoshe tu kusema wewe ni miongoni mwa wajinga hao.
tarehe 14 tunaenda kupasha misuli moto mapema sana mida ya saa 11 hapo mkapa then 15 tunakuja kuchukua point za bure tunajiandaa kwa paredi,ukija kuleta fujo utapigika kama mwizi hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
simba hawajagomea mchezo,bali simba walilalamika na bodi ikaona malalamiko yana logic wakaghairisha,sasa yanga nao wawe na logic bodi iridhike sio kutumia nguvu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
aliyekimbia mechi ni yule aliyemzuia mwenzie kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi,kama mlikuwa mnajiamini mngeacha wenzenu wafanye mazoezi ikiwa ni haki ya kikanuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.