Recent content by DullahTza

  1. DullahTza

    Mungu yupo

    Sayansi imeshaelezea uumbaji wa vitu vyote ulivotaja hapo. Ni swala la muda tu lakini sayansi inatoa majibu ya vitendawili vingi anavyojiuliza mwanadamu. Imagine maswali waliyokuwa wanajiuliza mababu zetu miaka ya zamani leo hii yashapatiwa ufumbuzi
  2. DullahTza

    Natafuta mke wa kuoa

    Nipo hapa...Ustadhi!
  3. DullahTza

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    ila bible haina utoto au sio...hahaha! IMANI NI UPOFU!. me nadhani mtu makini ni yule anayeuliza kila kitu na kuchunguza kila kitu kabla ya kukikubali. Dini wameletewa babu zetu nasi tumezaliwa tumezikuta. Mtu makini ni yule anayechunguza kutaka kujua ukweli, usiwe mpofu wa dini. inawezekana...
  4. DullahTza

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Mkuu sijakuja kubishana ila maswali yako ya asili ya mfumo wa jua na dunia yanajibika kisayansi tena ukifatilia utaelewa vizuri tu. Soma makala mbalimbali au search youtube utapata majibu yote. Asante
  5. DullahTza

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Ngoja nikanywe chai...nitarudi!
  6. DullahTza

    Je, wewe ulikuwepo ndani ya hili jengo? Wewe ni Mjinga

    FOREX IS REAL BUT LIKE ANY OTHER BUSINESS....IT'S NOT FOR EVERYONE, IT'S A PROCESS!
  7. DullahTza

    Je, Radio station huwa wanachezeshaje draw za mchongo pesa?

    IPO TUME YA KURATIBU MICHEZO YA KUBAHATISHA, HUWA WANAKAGUA KILA MARA
  8. DullahTza

    Utundu wangu unaniweka matatani

    [emoji38][emoji38]
  9. DullahTza

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bodi imempa Reece James mkataba wa £250k kwa week....kwanini mount asipewe zaidi au kama hiyo
  10. DullahTza

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Line yangu inaandika NOT REGISTERED ON A NETWORK tatizo nini ? nitatue vipi?
  11. DullahTza

    Ushuhuda: Kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri

    Pole kwa changamoto.........#Jikaze #kazi iendeleeeee
Back
Top Bottom