Recent content by Dullah moko

  1. D

    JamiiForums Tanzania 2001 TOYOTA HARRIER (4 CYLINDERS) inauzwa... :)

    Weka bei mezani mkuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania feni ya kuweka maji

    Duu hiyo feni,imetisha...ila mapaf kujaa mma;(hilo nalo neno
  3. D

    JamiiForums Tanzania udsm udsm maina campus kitanda

    Nauza chakwangu kipo hall5,lkn chakubebwa cyo chako mwenyewe
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kitunda-kivule bado mpya

    Huyu mkuu hajatembea akaona,anafikra za miaka ya 80"masaki utapata kiwanja kweli"????
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop bei ya kawaida(picha)

    Chukua kilo mbili na arobaini mkuu
  6. D

    JamiiForums Tanzania LAPTOP FOR SALE model d630 bei 300000 tu. 0689315582

    Mbuzi kwenye (g)dunia wapi picha shabani????
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kinachofichua utapeli katika baadhi ya Makanisa

    Na hii ndiyo taaaabu ya pombe za asubuhi..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo!mbona njombe ndiyo inayoongoza kwa HIV na hakuna chuo hata kimoja,ukimwi upo popote kikubwa zaidi nikujilinda kwanjia unazozijua mwenyewe
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hupendi haya inakuaje!!

    Hakuna madisco matamu km ya taarab...mamen wachacheee madem kibao na wakali kinyama nyuma wameshona ile mbaya yani utachezea mpk uchemshe mwenyewe..... Sipendi taarab napenda madisco ya taarab
  10. D

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    Aah kubabeki kwahiyo ndo tumewapelekea vitoweo,,,,,,hivi huuu upumbavu ninani aliyeuleta jkt!jkt!jkt! Aende anayetaka utumwa cyo kulazimishana
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kijana kinauzwa.

    Aliyetuma post hii apigwe, na apigwe tu maana tumeshachoka sasa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vyumba vinapangishwa.

    Mkuu weka namba ya simu,tukutafute
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

    Umenena mkuu kuhusu udsm na sua hakuna atakaye kohoa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

    Mkuu inamaana huoni au natamani nikamtolee dhamana ili nikajifaidie mwenyewe cha home
  15. D

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    Ha ha ha ha umemaliza mdahalo mkuu,nibora apigwe tu maana tumechoka sasa
Back
Top Bottom