Nyumba inauzwa kitunda-kivule bado mpya

Nyumba inauzwa kitunda-kivule bado mpya

Habari wana JF.
Nauza nyumba yangu,ina vyumba 3 ambapo kimoja ni master bedroom,sitting room,dinning room,kitchen na public toilet, pia ina gypsum kote,.
Nyumba imekamilika mtu anaweza hamia kabisa,
Ina miez mitano tangu kuijenga, pia ina eneo kubwa sana la kuweza uzio pia na kujenga tena na nafas ikabaki.
Ina ramani ya kisasa, ipo Kivule mwisho karibu na shule ya kananura sec, na ipo karibu na kituo cha daladala, pia gari inafika hadi ndani.

Bei imepungua hadi Tsh. million 35.
Nimeamua kuuza kwa sababu kupata shida kiuchumi,. Contact : 0754601754 & 0759196143. Karibuni sana.View attachment 110201View attachment 110202View attachment 110202
Mheshimiwa eneo liko srveyd, hati na size yake ni gani
 
Mkuu hiyo bei umezingatia nini? sioni corellation ya material na figure dah
Habari Wana jamii.. Nyumba bado ipo na bei nimepunguza toka mil.38 hadi mil.35..Karibuni sana.
 
Huyu mkuu hajatembea akaona,anafikra za miaka ya 80"masaki utapata kiwanja kweli"????
Sawa. Lakini hili ni banda. Nyumba zimejengwa masaki, mikocheni, tegeta, mbweni,ununio, mbezi beach, na bunju.

Mkuu hizo ni dharau, katika maisha sio nzuri, kuwa makini na koment zako , Kwa taarifa yako Kuna nyumba nyingi nzuri sana zimejengwa maeneo tofauti na uliyoyataja, wewe bado unamtazamo wa kizamani sana, nakushauri uwe na utaratibu wa kutembelea maeneo mbalimbali ili upanue fikra zako ambazo naziona ni finyu sana.
 
Mkuu hiyo bei umezingatia nini? sioni corellation ya material na figure dah

Asanteh kwa ushauri wako Mheshimiwa, ndio maana sasa nimeshusha had Mil.33 tu,kulingana na shida niliyonayo
 
Sawa. Lakini hili ni banda. Nyumba zimejengwa masaki, mikocheni, tegeta, mbweni,ununio, mbezi beach, na bunju.


Utaishia kusifia vya wanaume hivyo hivyo wakati huna uwezo wa kumiliki hata choo.
 
Utaishia kusifia vya wanaume hivyo hivyo wakati huna uwezo wa kumiliki hata choo.

Tusimlaumu Wakuu,that was his presumption..

Mie nnachoomba Mungu anisamie,nifanye biashara na mtu atakaeridhika nayo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom