Recent content by Dulah L Brights

  1. Dulah L Brights

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Mbona Mimi nilifungua account inazingua
  2. Dulah L Brights

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hii Gari nzuri Sana iko poa kuanzia ndani ina seat 7 hvyo Kwa nafasi ya ndani ni nzuri na kubwa inatulia barabarani Kwa sababu ni nzito na ni Pana kwenye swala la ajali labda mechanical failure na uzembe tu Ila iko poa Sana Kwa ubaya mi nazani labda ni kwasababu wameinyima spare tyre tu japo...
  3. Dulah L Brights

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nilitafuta kutokana na mahali nilipokua ni kijijini sana Ila nilipata mwanza
  4. Dulah L Brights

    Tulio single tujuane

    Najikumbushia ni muda Toka 2021
  5. Dulah L Brights

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za muda huu msaada naomba msaada wa Kupata Break pad za Honda Crossroad
  6. Dulah L Brights

    Msaada kuhusu iTunes gift card

    Habari wakuu ombi langu Kwa anae fahamu vizuri kuhusu iTunes gift card naomba ufafanuzi
  7. Dulah L Brights

    Msaada Generator ina ji Less yanyewe

    Sawa nimekuelewa Ila hii ni ya Diesel vilevile nimejaribu kuiset kila namna na najaribu kuikaza lakini inajiongeza na kujipunguza yenyewe na kuhusu vitu sija iunganisha na chochote
  8. Dulah L Brights

    Msaada Generator ina ji Less yanyewe

    Msaada wenu wadau. Na mafundi Kwa ujumla
  9. Dulah L Brights

    Msaada Generator ina ji Less yanyewe

    Habari zenu wadau Nina Generator yangu Kampuni ya Boss baada ya kuifanyia Marekebisho imewaka tatizo linakuja nnapo iwasha ina Jiongeza na kujipunguza Less yenyewe hivyo haitulii katika Hali moja Msaada wenu tafadhari.
  10. Dulah L Brights

    Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

    Sawa Asante sana Mkuu Kwa ushauri mzuri
  11. Dulah L Brights

    Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

    Sawasawa Asante Kwa kunifahamisha
  12. Dulah L Brights

    Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

    Asante sana ngoja nivifwatilie
  13. Dulah L Brights

    Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

    Asee mi huyu kukicha Asubuhi tu anaanza kutapika Nyongo
Back
Top Bottom