Msaada Generator ina ji Less yanyewe

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
269
153
Habari zenu wadau Nina Generator yangu Kampuni ya Boss baada ya kuifanyia Marekebisho imewaka tatizo linakuja nnapo iwasha ina Jiongeza na kujipunguza Less yenyewe hivyo haitulii katika Hali moja Msaada wenu tafadhari.

Screenshot_20210510-143238~2.jpeg
 
Kaka kwanza unatakiwa ujue Generator inavyojirace ina weza unguza vitu maana inaongeza RPM na volt pia zinapanda
Soo Dont connect it na vifaa vyako until umepata ufumbuzi.

Generator kubwa zina kitu kinaitwa speed gavarner, ila ndogo hazina ila zina icho kidude cha kuongeza Moto na kulunguza.

Ninanchokushauri angalia kama hiyo Knob/ kidude kama kimekaza au kipo lainilaini.

Maana kama kipo laini laini Generator ikiwa inatetemeka inweza kujiongeza. au kama kimekaza na kuna hiyo shida tafuta fundi akuchekie Carbulator maana yenyew ndio inacontrol mtiririko wa mafuta
 
Kaka kwanza unatakiwa ujue Generator inavyojirace ina weza unguza vitu maana inaongeza RPM na volt pia zinapanda
Soo Dont connect it na vifaa vyako until umepata ufumbuzi...
Sawa nimekuelewa Ila hii ni ya Diesel vilevile nimejaribu kuiset kila namna na najaribu kuikaza lakini inajiongeza na kujipunguza yenyewe na kuhusu vitu sija iunganisha na chochote
 
Back
Top Bottom