Recent content by Duduvwili

  1. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Sifa anazopewa Waziri wa Maji (Aweso) ni tofauti na uhalisia

    Ingekua Vema kama ungeweka bayana Ummah wote uweze kuona hapa ni ushauri tu lakini
  2. Duduvwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Naungana na wewe Mkuu kiukweli huku mtaani Watoto wengi wanataabika kisa Wazazi kutengana huyo Mtoto mdogo hana dhambi yoyote busara itumike kwa maslahi mapana ya familia japo kiukweli inaumiza sana
  3. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Heshima yako inapotea kabisa ndugu yangu shida yako ni Njaa au una tatizo gani saa nyingine ni vizuri ukikaa kimya tu
  4. Duduvwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofa! Ofa! Binti anayejijua ni pisikali JF anakaribishwa chakula cha mchana na usiku

    Tundra na tackle
  5. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu wakati wako umeisha, usiingilie kizazi cha sasa

    Huyo hana jipya asamehewe tu ni katika kutafuta ugali wake inshort kafulia na hauziki kwenye udangaji kwa hiyo kimbilio pekee ni kusifu na kuabudu ili atleast apate japo hewa safi kijuso huyu
  6. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

    Ni upuuzi kufwatilia vyombo vya habari vya Tanzanie
  7. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    Kuna Mzee nimemuona kiukweli nimeshindwa kumuelewa kabisa kwa heshima niliyokua nampa sikutarajia kama anaweza kujidhalilisha kiasi cha kushiriki na kusifia
  8. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Tamaa ya watu fulani wachache ambao sijui baada ya hali kuwa mbaya wao wanaweza kukimbia sasa je vipi kuhusu ndugu zao?
  9. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Aiseee tunakoelekea siko kabisa jamani halafu ni makusudi tu tunapelekana huku wahusika wawajibishwe wajameni
  10. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifanye kitu kwa hawa panya road na Hawa wahamasisha vurugu ili hii tabia IFE

    Wasikushinde wewe na nani aisee?
  11. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

    😂😂😂😂😂
  12. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wanaweza kujifunza kitu hapa kutoka kwa msanii Angelique Kidjo

    Sio kwa hawa waimba matusi wa kusadikika ni full kujipendekeza kwa bi Xhura
Back
Top Bottom