Recent content by dudus

  1. dudus

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Sioni faida yoyote ya mamba zaidi ya uharibifu. Haiwezi kufanyika operesheni maalum ya kuwatokomeza kabisa tukawa na nchi isiyo na mamba?
  2. dudus

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Houthi kutengeneza kaaba yao imewakasirisha sana waislamu wengi

    Aisee! Dunia inapitia katika uamsho na mabadiliko makubwa sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote. Yawe chanya au hasi hakuna namna.
  3. dudus

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wote wa kesi ya Lissu Alhamisi, Septemba 24, 2026

    Lissu alitakiwa kuwa full bright visiting professor vyuo vikuu vinavyoheshimika duniani akimwaga lectures na consultancies za sheria zilizoshindikana au zisizo na majibu duniani.
  4. dudus

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

    I hope Xi atakuwa amebeba ujumbe maalum kwa Trump kuhusu vita vya Iran.
  5. dudus

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

    ... Iran ameipokeaje ziara ya "mshirika wake" huko Washington?
  6. dudus

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Jaji yuko sahihi. Ni kazi ya wakili kutaja sheria (vifungu) then jaji anakuambia whether you are right or not. Hii ndio maana halisi ya mahakama kutafsiri sheria! Understand.
  7. dudus

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Mwandishi kachapia tu. Sivyo alivyoongea Lissu.
  8. dudus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ok. Mara ngapi washtakiwa wameachiwa na kukamatiwa maeneo hayo hayo ya mahakama soon thereafter?
  9. dudus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Hakuna sheria ya kulipwa fidia ukishinda kesi ya jinai.
  10. dudus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ndio nimesema atafunguliwa mashtaka upya. That's what is going to happen ikitokea ameshinda kesi.
  11. dudus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ok. Basi naona akiachiwa na kukamatwa tena kufunguliwa mashtaka upya!
  12. dudus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ikumbukwe kuna mashahidi walitoa ushahidi kwamba baada ya kusikiliza hotuba ile "WALIHAMASIKA". Those are persons and their particulars are known!
  13. dudus

    JamiiForums Tanzania Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Jeuri ya pesa na madaraka; of course bila kuvunja sheria.
  14. dudus

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia yakabiliwa na Mashambulizi ya Wahouth katika miji Yao!!

    Tujiepushe sana even kuwaza maeneo ya kiimani kushambuliwa! Hiyo vita haitokaa iishe na haitakuwa na macho. Mbaya sana hii thinking.
  15. dudus

    JamiiForums Tanzania Ahmadiyya Tanzania yasisitiza haki na maadili kuelekea Jalsa Salana ya 55

    ... Amir sawa; hiyo ya pili "mbashiri mkuu" ni nini hasa anatekeleza?
Back
Top Bottom