Wakati Tanganyika inapata Uhuru kulikuwa na Watanganyika watatu waliotegemewa kupata Urais Kadiri Ya CIA cable ya mid 50s iliyoandaliwa na shushushu maarufu wa enzi hizo ambaye baadaye alikuwa waziri wa nje enzi ya Reagan , FRANK CARLUCCI
watanzania
Julius Nyerere
MANGI Thomas Marealle
Chifu...
Kwa maana hiyo hizo submeter ni lazima wapangaji wote wafunge akifunga mpangaji mmoja haina maana kwa maana ikitokea wenzako ambao hawajafunga wakimaliza unit zao wataendelea kutumia za kwako..
Kingine kwa maelezo yako hizo submeter lazima zinahitaji mtu atakae kuwa ana zi monitor (Adimin)
Je...
Mkuu nimejenga eneo ambalo lina magadi sana sasa baada ya kupiga plasta unyevu ma magadi unapanda sana na unapelekea rangi kubanduka
Nifanye nini kudhibiti hili?
Habari wakuu
Samahani sana Mimi nina mtaji mdogo wa 5m
Ila nahitaji ni fungue hardware itakayo kuwa na vifaa vidogo vidogo vitakavyo endana na bajeti yangu
Naomba kama kuna mtu yoyote mwenye list ya vifaa vya hardware anitumie ili inisaidie kufanya tathimini
Lengo ni kuanza na bajeti ya 5m...
Airtel haifai kabisa kuna siku Tapeli limenipigia simu baada ya kulishtukia likanitukana na mm nikalitukana tusi kubwa lililo muumiza zaidi likaniambia Ngoja niitoe hii 826,000/=
Nikashtuka nikakata simu kiukweli nilikosa amani na kuihamisha hela kwenye mtandao mwingine chap
Nikajiuliza huyu...
Mkuu
Biashara ya vyombo vya nyumbani ina faida nzuri ya mpaka 45% ila changamoto yake ni mzunguko
Kwahiyo hapo lazima uzingatie sana location Mf. Eneo ambalo lina hostel za wanachuo, au kambi ya jeshi au eneo lenye mwingiliano mkubwa wa watu wanao enda na kutoka majumbani mwao
Vile vile...
Pacal kwani suala la kwamba ni mtoto wa nje ya ndoa tena mtu mzima kama yule hilo nalo ni siri za familia? Suala la nani ni mmiliki halali wa mali nalo ni privacy?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.