Recent content by Duchemkubwa64

  1. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa huwezi kutofautisha kazi wananayoifanya Polisi na kazi za CCM

    Ni bora unyimwe pesa kuliko unyimwe busara
  2. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Dereva taxi afikishwa mahakamani kwa kudaiwa kumteka Mo Dewji

    Vitu vingine buana, ushuzi mtupu
  3. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Bollen Ngetti: Dk. Bashiru, Membe si size yako, kaa kimya

    Hii ni Dozi kamili kwa SG
  4. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya korosho

    aibu sana kwa hawa viongozi, waziri mkuu alikuwa hana namna bali kutii amri masikini, inasikitisha na kukatisha tamaa
  5. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Askofu Gwajima siyo Mtuhumiwa bali ni muathirika wa lile tukio

    Hili jimbo la kolomije litatoa watu roho walai...
  6. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ‘waungana’ na CCM kupinga maandamano ya vyama vya upinzani kuhusu CAG

    Mtu akija akikwambia kwamba mimi ni baba yako wakati hujawahi kumuona hata siku moja lakini unafanana nae utakubali au utakataa
  7. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi: Bunge limejihukumu lenyewe CAG yuko kwa mujibu wa sheria haombi kazi bali Bunge ndio humuomba!

    Hawa ma Spika wetu wanadhalilisha sana taaluma zao. Akienda nyumbani naye anaitwa baba na huyu sijui anaitwa nani?
  8. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

    Spika mstaafu wa awamu ya nne tuondelee aibu hii, mpatie japo ushauri wa bure kwa simu tu sayonara
  9. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema huenda Lema ana msongo wa mawazo kwani ana deni la Tsh. Milioni 644! Amtaka afike kwenye Kamati ya Maadili leo

    Mimi nashauri arudishwe India kwa pesa zake, mambo kichwani yameharibika sayonara
  10. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Magufuli alitaka sana CAG Assad aondoke kuliko Bunge, kilichofanyika ni "Process geresha"

    Ngoma inogile.... Uamuzi huu haujawahi tokea tangia dunia iumbwe, P.Msekwa
  11. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai unataka Lissu afe?

    Huyu mgogo alaaniwe yeye na kizazi chake
  12. Duchemkubwa64

    JamiiForums Tanzania Kwanini Spika hakumtetea Ester Matiko kuwa alimtuma Burundi

    Wapenda haki na amani tuache uoga na kusema muda ukifika itakuwa hivi au vile. Take action now!!!!
Back
Top Bottom