Pamoja na kutoa pole kwa wafiwa katika ajali ya meli SPICE ISLANDERS, je meli hii ilikuwa inakidhi viwango? Hizi ajali zinaongezeka kila mara huko znz. MKUU WA BANDARI ZANZIBAR UPOOO........
Hiyo katiba iliyopo inayompa Rais umungu mtu hatuitaki, kwani unatakiwa usome katiba ndiyo ujue shida zako?? So long as wananchi wanaelewa wanavyodhulimiwa na serikali inayowaongoza, katiba mpya ni LAZIMA...
Hivi hawa ccm walizaliwa kututawala milele? Hata soni hawaoni, mtu anakemea ufisadi na kuwashauri mema watz, wao kwao ni SOOO.....
Nyerere alisema "ccm siyo mama yangu", Sumaye fanya kweli.........:A S 103::A S 103:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.