Recent content by dtkvs

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hahahaaaaa kumbe unakumbuka mkuu?? Nimepunguza vigezo
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hahaaaahaaaa....haya bhana
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mtumishi wa serikali nimerudi tene kwenu wanaMMU Natafuta mchumba na baadae kuwa mke. Ningependa awe na vigezo vifuatavyo ...mkristo dhehebu lolote..akiwa mroman catholic itapendeza zaidi .....asiwe mrefu sana ......umri wake kuanzia miaka 21-27 .....akiwa...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake ambao wamezaa na wanaume ambao hawakuwaoa kumbe huwa hamuachani eeh!

    Huyo mtoto ulibambikizwa sio wako
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya ualimu

    So after official graduation will your GPA change!?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya ualimu

    Hahaaaa ameona hilo MIUI!?? Currently I hold 4.1 GPA Sasa cjui kama itakuja kubadilika baadae!!?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya ualimu

    Duh....you need sometimes!!! Na una GPA ya 4.1
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho...Nimepata demu bikra

    Miaka 23yrs...duh
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wana jf mbona hamnijali jamani..

    Sawa naamini hapa utapata ila sasa swala la mchakato ndio litachukua muda,
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wana jf mbona hamnijali jamani..

    NAFASI ZA KAZI ZA MADEREVA DARAJA LA II NAFASI 51 SERIKALINI | Bongolatest Job Jaribu hapo mkuu tafadhali
  11. D

    JamiiForums Tanzania TUCTA yaitaka Serikali kuangalia ongezeko la mishahara, waitaka Serikali kuwarudisha darasa la Saba Kazini

    Ndugu zangu mm nimekaa na mwenyekiti wa tucta kwenye baadhi ya semina yaani tusiwategemee kabisa yaani tusiwategemee hata kidogo,,kwa mfano nilimuuliza Kwanini CWT wanawaingiza walimu kwenye chama chao na kuwakata mishahara yao direct bila hata kuwahusisha!? Akanijibu nilozaliwa nikaikuta CWT na...
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hahahaa kufa mapema kivipi mkuu?
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Asante mkuu kwa kunisahihisha,,kuwa na degree sio kigezo cha kufahamu kila kitu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mkulima jasiri kutoka Kigoma aliyewania urais ndani ya CCM 2015?

    Atakuwa anaendelea na majukumu yake shambani.sijui kama serikali imemkumbuka kwenye ruzuku ya pembejeo
Back
Top Bottom