Recent content by DT125

  1. D

    GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    John Mrema: Point noted, Jumamosi umoja wa vyama vya upinzani vinavoshiriki uchaguzi kuongea na waandishi wa habari.
  2. D

    Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

    Mimi hapa Masalawe natumia biogas bure kabisa.
  3. D

    “The birds will be flying high tomorrow”

    HAPANA Rost Tamu jamani.
  4. D

    KERO GE2025 Rais Samia ni mgombea kama wengine. Watumishi na wanafunzi si mali ya CCM. TUGHE kemeeni barua za vitisho za waajiri juu ya wasiohudhuria kampeni CCM

    Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM? Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria mikutano hiyo na mahudhurio kuchukuliwa uwanjani. Hii ni kinyume na utaratibu. TUGHE kama shirikisho...
  5. D

    GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

    Kwani maamuzi hufanywa na mtu mmoja? Au wanabishana kwa hoja kwenye hiyo kamati yao na kufikia uamuzi Ummy tumwache.
  6. D

    Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    Mbowe alikuwa anajua anamshinda Lissu tena mpaka idadi ya kura. Na timu yake wakawa wanatamba hakuna kuhama chama na Kuna wanaCCM walisema Mbowe hawezi kushiriki uchaguzi ndani ya chama anaojua anashindwa akaweka na uchaguzi ulio huru kwa kujiamini kabisa. Nani Sasa alibadilisha kura za Mbowe...
  7. D

    Ndani ya mwaka kuna mwanasiasa kutoka Afrika mashariki atakuwa nomited kuwania tuzo ya Nobel

    Niliwaza hivyo jana kuwa Tundu Lissu anaweza pewa Tuzo hii muda wowote. Wewe umeamua kuandika.
  8. D

    Kenya: Huduma za Afya kutolewa bure kwa watu wote

    Wameajiriwa hata huko bara hasa walimu, manesi, makatibu tawala mikoa, DAS, RC, DC n.k
  9. D

    Kenya: Huduma za Afya kutolewa bure kwa watu wote

    Naomba Panadol ya Kenya tafadhali.
  10. D

    GE2025 Kada mwingine wa CHADEMA, Dorcas Francis ahamia CHAUMMA

    Kwa nini hakujipa cheo hicho sasa, akaishia kujigawia unaibu?
  11. D

    GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

    Chadema zamani kiliitwa Chagadema kwa sasa hakuna tena propaganda hiyo.
  12. D

    GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Mimi ni MWANANCHI KINDAKINDAKI lakini suala la kuchangia chama cha siasa Kwa klabu yetu HAPANA HAPANA HAPANA.
  13. D

    Sie wakulima mtusaidie kuelewa, hivi bunge likivunjwa mawaziri wanaendelea na uwaziri? Nimemwona Bashe 88 anapiga kazi.

    Hii ni Tanzania ya maigizo. We mkulima wa Kongwa utaona kwenye msiba wa ndugu yenu Ndugai watakuja na hizo V8 zenye plate namba zinazoanza na W.. au NW. Wakati wa kampeni watatoa hizo plate namba na kupandika stika hizo V8 gari nzima kijani kama zile coaster za Yanga. Ilitakiwa hata nyumba za...
  14. D

    Mnaoona Wivu Rais Samia kutoa Tsh billion 1 Taifa Stars ikiwa Bingwa wa CHAN huko Kenya Ruto kaahidi Ksh million 600 sawa na Tsh billion 12

    Haya Mimi nitatoa 2 bilioni zaidi ya Rais wakiwa mabingwa, naomba niandike ahadi yangu mbele ya wakili nishindwa kutoa hiyo pesa niuawe.
Back
Top Bottom