Recent content by Drydon

  1. Drydon

    Ni kiasi gani hutolewa na CAF kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi shirikisho?

    Ningependa kufahamu je!? ni kiasi gani hupatiwa kwa vilabu vitakavyofuzu hatua ya makundi upande wa shirikisho Africa. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  2. Drydon

    Faini za TARURA unapoegesha gari vibaya ni kiasi gani?

    Wanajamvi nilikuwa naomba mwenye ufahamu faini za TARURA ni kiasi gani pindi unapokamatwa kwa kosa la wrong parking.
  3. Drydon

    Nimetakiwa kuwa na kibali cha ujenzi

    20 ya kiwaki sana half siyo unyama kabisa chamsingi anielekeze tu utaratibu niuzingatie ila haya masuala ya 20 hapana Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  4. Drydon

    Nimetakiwa kuwa na kibali cha ujenzi

    Nimejichanga miaka kadhaa hatimae nikapata kakiwanja kangu huko ndanindani Zingiziwa Nikajichanga tena wazo ni angalau niwe na kakibanda hata kamgongo wa ng'ombe nisahau adha za kodi. Juzi nimeenda na fundi wangu angalau tugawane rizk tumeanza kuchimba msingi leo tumeanza kuingiza tofauri...
  5. Drydon

  6. Drydon

    Biashara ya Uber, Bolt

    Tuliza kichwa hakuna biashara kichaa ulichokieleza hapo ni sawa na wale jamaa zetu wa motisha za kilimo cha matikiti Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  7. Drydon

    Biashara ya Uber, Bolt

    Mtoaji mada nipo hapa kwa maelezo hayo juu ya experience hupaswi kuwa na shaka niunganishe na mmiliki wa gari tuweze kufanya kazi Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  8. Drydon

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Huyo ni agent sidhan km zuku wanaweza wakatoa ukandamizaji wa hivi Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  9. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Wahusika karibuni Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  10. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Namna ya kuvumilia ktk situation km hyo ni namna gan? Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  11. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Bado sijapata ndugu zangu Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  12. Drydon

    Naomba msaada kwenye hili suala tafadhali

    1.Alipataje nafasi huko na yeye si mwalimu haliyakuwa walimu wapo wengi mtaani na vigezo vyao wamekosa? 2. Huko alikopeleka hiyo barua bila kusainiwa na ikapitishwa hadi kuitwa kwenye enterview kuna nani huko? USHAURI: Connection aliyoitumia hadi kupata kazi ya awali ya ualimu na connection...
  13. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Sawa nashukulu kwa ushauri wako mkuu. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  14. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Ahsante nitashukulu Mungu abariki. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
  15. Drydon

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Sina uhuru nalo kutokana na nature ya mmiliki (Boss)niliyekuwanae nyakati zimebadilika zamani kwa masharti aliyokuwa akiyataka ilikuwa angalau unaweza kuvumilia ila kwa sasa hapana kuipata pesa ya uber au bolt inabidi upate muda sana barabarani tofauti na hapo awali trip kadhaa tu unaweza pata...
Back
Top Bottom