Recent content by drucker

  1. drucker

    JamiiForums Tanzania Ananipenda kweli?

    umemwongezea mshkaji option, inabid utafute taarifa za kiintelijensia za msimamo wa jamaa ukoje kwenye mahusiano, kama anajua anachotaka au la
  2. drucker

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa mwezenu

    hapo jamaa anawasiwasi na ww kama hukumsaliti
  3. drucker

    JamiiForums Tanzania Shameless man and evil woman, Some men are beyond stu.pid

    hahahahahaa mujini mipango, convising power yako itakupa utakacho
  4. drucker

    JamiiForums Tanzania Valentine's Day boycott

    bt you are still alive
  5. drucker

    JamiiForums Tanzania Valentine's Day boycott

    let me think of this
  6. drucker

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Naunga mkono hoja, naomba nikazie zaid kwa sasa smg na ak47 zitumike na asiehusika asiuawe unless alijua huo usaliti na hakuchukua hatua
  7. drucker

    JamiiForums Tanzania Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

    hahahahaa kwel, fichen tu msijekimbiwa
  8. drucker

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    ukimya ktk mapenz sio mzur kabsa, ww unafikr hiv mwenzio anafikir vile mwisho wa siku mmoja lazma aumie. ni vizur kama kuna kitu ambacho hakija kaa sawa, mkae mzungumze mpate muafaka, yule sio ndugu yako useme undugu haufutik mkikaa kimya. kama bado unampenda na unahsi you can get him...
  9. drucker

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je unaweza kumuoa mwanamke mcheza shoo au dansa?

    yes why not, kipenda roho hula nyama mbichi. baada ya ndoa kama kuendelea au la inategemea.
  10. drucker

    JamiiForums Tanzania Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

    kwanin asije navyo vyote vitatu
  11. drucker

    JamiiForums Tanzania Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

    hlo nalo neno though its agaist humanity kusema hvyo.....wanadai zote product za Mungu
  12. drucker

    JamiiForums Tanzania World Hijab Day kuadhimishwa February 1

    kuna siku maalum za kuvaa hijabu au ni kila siku?
Back
Top Bottom