Recent content by DrOfBrain2

  1. DrOfBrain2

    Nawasihi walimu wa Tanzania wasikae kimya kuhusu Chama cha Walimu Tanzania

    CHAKUHAWATA Ndio wakati WAO WA kuvuna wanachama Zaidi. Kinachotakiwa wafanye kwa Sasa , ni Kupita mashuleni na FOMU ZAO za kujiunga uanachama. Ndani ya oktoba hii 2023 , wataupiga Sana.
  2. DrOfBrain2

    Swala la Dkt. Slaa mimi ningekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    ATAENDELEA KUITWA >>>>>. BALOZI MSTAAFU >>>>>>> Yaani Aliyestaafishwa kwa kuvuliwa Cheo.
  3. DrOfBrain2

    Mkopo wa elimu ya juu ni msaada kwa watoto masikini au ni mradi wa watu?

    Binafsi Nimemuelewa mtoa Mada >>>> Kuna mahala hapako sawa Kabisa ... Kuna kipindi unalipa deni walilokupatia Hazina kwa njia ya makato ya mshahara WA Kila mwezi >>> Mungu anakusaidia deni linakwisha >>> baada ya MIAKA 3 hivi ... Wanarudi kwa makato Mengine Tena >>> Ukiwafikia OFISini kwao Kujua...
  4. DrOfBrain2

    DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Binafsi, Mwezi huu WA AGOSTI 2023, Sizioni kwenye AKAUNTI kama laki na nusu na ushee. Nipo kwenye ufuatiliaji
  5. DrOfBrain2

    Hivi mtu anaweza kumwaga rough floor pasipo kuezeka?

    Ndio Inawezekana, .., Mimi NILIFANYA HIVYO kabla sijaezeka kwa lengo la kupambana na mvua zitakazo sababisha Msingi kutitia.. HIVYO kwangu Mimi naona ni maamuzi sahihi Sana.
  6. DrOfBrain2

    Adhabu ya viboko ifutwe mashuleni: Madhara yake hayadhibitiki

    BILA BAKORA ZENYE VIWANGO KWA VIJANA WETU WA KIAFRIKA, BASI TUSITARAJIE MATUNDA BORA YA ELIMU ...., MAANA MATUNDA HAYO YOTE YATALIWA NA NYANI KWAKUWA TUMEAMUA KUCHEKA NAO ...... KAMATA HIYO .....
  7. DrOfBrain2

    Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Big up Sana , UMEONGEA kizalendo Sana na sio KISHABIKI. Tufike MAHALI , WA Tz tuachane Kabisa na utani ama ushabiki katika masuala ya kisiasa. Tunapoikumbatia tabia hii ndio inachochea zaidi maadui WA Taifa yaani Udini, Ukabila, ukanda , n.k . KUAMKA na kutuangamiza vibaya mno.
  8. DrOfBrain2

    Suala la bandari lina harufu ya chuki

    Pointi YAKO ni dhaifu unapo Potezea Suala la Muda katika Mkataba. Na pia ni dhaifu zaidi Sana unapolinganisha ndoa za mikataba ya kiserkali za Dunia , na ndoa za kiimani za kidini. Cha Msingi Cha kujiuliza ,> Kwanini Tusiziendeshe sisi wenyewe kwakuwa wataalamu wapo. Wanachokwepa serikali ni...
  9. DrOfBrain2

    Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

    AISEE, UNAJUA KUJIPOTEZEA MUDA .... NDOTO ZA MCHANA Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  10. DrOfBrain2

    Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

    Kweli kiongozi ..... Hawa Propaganda za CCM hawazijui Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  11. DrOfBrain2

    KAMPENI KATAAA WAHUNI TANZANIA KAZI IENDELEE 2022.

    Kisha wataja saana .... Mchumia Tumbo yeyote yule Mahala popote alipo ni Mhuni, Wabaya zaidi waliopo kwenye Siasa. Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  12. DrOfBrain2

    Dawasa: Mtambo wa Maji Makongo juu wawashwa na maji yaongezeka, Mabwawa 26 yaliyochepusha maji ya Ruvu yakamatwa!

    Kongole Mkuu[emoji106][emoji817] Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  13. DrOfBrain2

    Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    [emoji1787][emoji23][emoji28][emoji23][emoji1787] Ndio tujue kuna uhuni tu unafanyika.. Hili suala halitofautiani na wafanya biashara wa Sukari ... Wanapoamuaga kuficha sukari Yao .... Na hivi nisemavyo sio muda mrefu utasikia tena kuna MGAWO WA SUKARI TANZANIA [emoji350] Sent from my TECNO...
Back
Top Bottom