DrOfBrain2
Member
- Jun 12, 2021
- 34
- 29
Ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku ama kweli mama kafungua nchi wallah!!
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku ama kweli mama kafungua nchi wallah!!
India magari ya daladala yanatumia gesi asilia zaidi ya miaka 30.Misri gesi imefungwa hadi nyumbani kwa meter (LUKU)Kuna mradi wa kumwezesha magari madogo kutumia gesi badala ya petroli lakini mwaka wa kumi na ushee huu kituo Cha kuuzia gesi Ni kimoja TUUH na magari yaliyofungwa hayafiki mia
Jesus wa Israel anaingia ingiaje mwambwepande na huku tandale kwa tumbo? Tunachokisema ni huo uvamizi ulikuwa wapi miaka mitano iliyopita?Alichokisema hapo hakihusiana na kifo cha mtu.
Jesus is Savior.
Ni ajabu na kweli!
Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewachenjia wananchi wake kwa kuwaita makaidi
Hii ni baada ya Nchi hiyo kupitia kipindi fulani kigumu katika masuala kadhaa ambayo kwayo ni wazi hayajasababishwa na wananchi wale lakini ajabu wamegeuziwa kibao na kutupiwa gunia la lawama
Mnyama anahitaji maji lakini hatakiwi kwenda kunywa kwenye mto.Kwahiyo mifugo isipokunywa maji mtoni waje kunywa maji hapo Lumumba?
Tatizo ni umeme. Mashine za kusukumia maji haziwezi kufanya kazi bila umeme.Sababu za uongo hizo, hata maji ya mradi wa ziwa Victoria nayo hayatoki. Sijui ziwa nalo limekauka
Tafakari kidogo, jifikirishe, utajua kwa nini Mwanza inakosa maji wakati ziwa lina maji. Umeukiza swali lisilo na mantiki. Umeuliza bila ya kufikiria.Mbona haongelei ziwa victoria lenye maji ya kutosha lkn Mwanza hakuna maji?
Kwa dar suluhiso ni moja tuu...Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu ikolojia ya nchi.
Nne ni tatizo la tabia nchi.
Hivyo mgao wa maji hauepukiki
Na kwahiyo naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu.
========
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatambua Miji mingi mikubwa inakabiliwa na uhaba wa maji unaopelekea mgao wa maji na upungufu wa umeme
Amesema hiyo imetokana na mambo mawili makubwa ambayo ni Ubishi na ukaidi wa wanadamu na Kudra za Mungu
Amefafanua, "Bado kuna wananchi wengi wameendelea kuvamia vyanzo vya maji kwa kuyachepusha kwa ajili ya matumizi mengine. Pia, kuna watu wanalima karibu na vyanzo vya maji. Haya yote yanapelekea Vyanzo vya Maji kupungua"
"Nimefatana na viongozi wote hawa wa dini kwanza, kufuatana na viongozi wa dini wote hawa ni baraka kama kuna mapepo huko njiani yanapeperuka, pili nimeipa heshima Mwanza, tutaanza hapa dua za kuomba mvua zenye neema kwa Taifa letu"-Rais Samia.
Ndugu hao ni wajuvi wasokuwa na ujuzi. Au ni wafugaji wennye maslahi na uwepo wa mifugo kwenye maeneo nyeti ya maji.Nenda Morogoro ukaone mifugo inavyokausha mito!
Ndio tujue kuna uhuni tu unafanyika.. Hili suala halitofautiani na wafanya biashara wa Sukari ... Wanapoamuaga kuficha sukari Yao .... Na hivi nisemavyo sio muda mrefu utasikia tena kuna MGAWO WA SUKARI TANZANIAWaziri Mkuu jana amewatangazia wawekezaji waje, umeme upo hadi unamwagika, wasiwe na wasiwasi kabisa na hiyo nishati
Sawa tushauri solution juu ya hiliMnyama anahitaji maji lakini hatakiwi kwenda kunywa kwenye mto.
Tuondoke kwenye ufugaji primitive, hauna tija.
1.Mito na maziwa yetu na vyanzo vingine vta maji ya kunywa uifadhi kwa ujumla wake maji kiasi gani kwa mwaka?Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku
Huu ukaidi unatoka umeanza kuonekana ndani ya miezi 8 bila magufuli sasa mbona hatukuona ukaidiDar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu ikolojia ya nchi.
Nne ni tatizo la tabia nchi.
Hivyo mgao wa maji hauepukiki
Na kwahiyo naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu.
========
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatambua Miji mingi mikubwa inakabiliwa na uhaba wa maji unaopelekea mgao wa maji na upungufu wa umeme
Amesema hiyo imetokana na mambo mawili makubwa ambayo ni Ubishi na ukaidi wa wanadamu na Kudra za Mungu
Amefafanua, "Bado kuna wananchi wengi wameendelea kuvamia vyanzo vya maji kwa kuyachepusha kwa ajili ya matumizi mengine. Pia, kuna watu wanalima karibu na vyanzo vya maji. Haya yote yanapelekea Vyanzo vya Maji kupungua"
"Nimefatana na viongozi wote hawa wa dini kwanza, kufuatana na viongozi wa dini wote hawa ni baraka kama kuna mapepo huko njiani yanapeperuka, pili nimeipa heshima Mwanza, tutaanza hapa dua za kuomba mvua zenye neema kwa Taifa letu"-Rais Samia.
Kivuli cha MAGUFULI KINAMTESALeo akiwa mkoani Mwanza mama Samia amesema binadamu na kudra za mwenyezi Mungu ndio sababu za uhaba wa maji na mgao wa umeme.
Vipi kwa wale waliokataa kuwa hakuna mgao wa umeme?
Leo mama mwenye kasema, au kaongopa? Au kajisahau? Kajichanganya?
View attachment 2015206