Hakuna mwenye guarantee ya kutokwenda jela either kwa kutenda au kusingiziwa. Hivyo usijione upo salama.
BTW, siku ukiingia halafu wakakutia vidole na wakuchungulie kwenye tundu lako la haja kubwa ndio utajua umuhimu wa hili linalozungumzwa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa sababu hiyo ni very relative term na kila mtu ana tafsisri yake. Mwingine akiwa na uhakika wa milo 3 per day anaona ametoboa life. Tafsiri yako iko tofauti na yangu [emoji2][emoji2][emoji2]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.