Recent content by drizoo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkulima anadhaniwa ni mtu masikini katika jamii

    Ni kweli mpaka hapo mazingira ya mkulima kupata uhakika wa soko la bidhaa anayozalisha ndipo hiyo dhana itatoweka Lakini akiendelea kuzalisha na mwishoni kukopwa bidhaa anayozalisha ataendelea kuwa maskini
  2. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Vyama vya Ushirika katika Kilimo cha Miwa Kilombero

    Bado tatizo linaendelea si wameweka utaratibu wa kuvuna kwa kwanda?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kati ya Ifakara na Mpanda

    Njoo ifakara tupange kazi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Unafanya biashara hii kwa hapa dar
  5. D

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Hata wewe yuko teyari kukuuzia kama utampa bei kama soko la nje
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Kwanini wafunge mipaka ? Mpaka lini tanzania tutakuwa nyuma kwenye soko la kimataifa?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Tuwasiliane namba yangu ya watsapp ni 255784577757
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata vitunguu?

    Mkuu mi nnavyo navuna mwezi wa 11
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata vitunguu?

    Mkuu mi nnavyo navuna mwezi wa 11
  10. D

    JamiiForums Tanzania Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

    Na huyo aliyekwenda kuomba msamaha kwake . Mbona yeye anakwenda kwa mashia?
Back
Top Bottom