wakuuuu habarini sana....
Lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji...
Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu
Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.