Recent content by drifter#

  1. drifter#

    JamiiForums Tanzania Unafahamu mtoto wako ana DNA za Ex Boyfriend wa Mke wako!

    Hahahaha
  2. drifter#

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mkuu hiki kibali nakipatia sehemu gani!?
  3. drifter#

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    VITU BAADHI VYA KUZINGATIA: 1. Acha kuangalia picha na mikanda ya ngono(pornography) na kujichua au punyeto. Hii husababisha akili yako kuwa stimulated na picha hizi tu. Ukikutana na mwanamke halisia physically inakuwa ngumu kupata hisia kutoka kwake na ngumu sana kufanya tendo. 2. Epuka kuwa na...
  4. drifter#

    JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema: 70% ya waTanzania tumeshaugua na kupona Corona zaidi ya mara tatu au zaidi bila kujua, nadharia ni hii

    Naona alitaka kusema CENTRIZINE ni dawa kiboko ya mafua
  5. drifter#

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kikwenu au kikwetu wote tutafika salama
  6. drifter#

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Siyo huko fanya twende kanisani braza
  7. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Duh! so sad aisee.
  8. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Mkuu una lako jambo...hhahahah
  9. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Mkuu ningeandika vitu vingi hapo nimefanya kaufupisho tu kwa sababu lengo kuu lilikuwa ni kuelezea jinsi jamaa alivonitapikia miguuni tu..ningeanza kusema na demu nkachukua namba na tulvofika moro tukakutana sehem fulani baada ya siku kadhaa....mastory yangekuwa marefu mno mkuu
  10. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Hhahahaha aiseee jamaa ni full kujitamba safari Dar hyoo...acha mkuu
  11. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Hhahah daah pole sana asee...kuna vituko sana
  12. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    umekutana na nini huko mkuu
  13. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Habari zenu wakuu Leo ningependa kila mtu aweke tukio lake alilowahi kuliona kwenye mabasi ya mikoani. Nikianza na mim mwenyew, Mwezi wa 1 nlkua natoka Dar naenda Moro ndani ya Alsaedy bus full kiyoyozi nimeulamba kila kitu na chini nna kiatu changu kipyaaaaa! Pemben amekaa binti ambaya kwa...
  14. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

    kwa upande mwingine ni kweli jizi inaweza kutumika kama mwizi ...lakini si Kiswahili fasaha..kila eneo lina rafudhi yake au (jinsi wanavyotamka maneno) kwa mfano: hapo hapo tanga si ajabu mtu kusema "Moto wawaka" badala ya "Moto unawaka" na maeneo mengine pia hivyo hivyo....si kama sio...
  15. drifter#

    JamiiForums Tanzania Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

    Kwa kweli neno hili sijawahi kuliskia...au ndo watu wanamaanisha "Jeans"?....au mkuu labda uliliskia likitumika sehemu?
Back
Top Bottom