Mwaka jana nlitoka arusha nkatembelea mwanza. Siku moja j2 nkiwa maeneo ya nyegezi sehemu moja inaitwa Weekend car wash Ambapo kuna huduma ya sheli,kuosha magari na bar, basi nkiwa hapo mara nkamuona demu flan ambae nlisoma nae o level, nkamsogelea kumpa salam, kwa bashasha za kutokuonana mda...
Ni kweli ingawaje na ninyi mnatuvumilia mengi, baadhi yetu wanaume tunavuta sigara na tunapoingia kubaiolojiana hata hatuswaki hivyo tunawakera na harufu ya sigara. Wakat mwingine tunalewa,miguu inatoa harufu, hatuogi kwasababu za kishirikina ila tunashukuru baadhi yenu mnatuvumilia na...
Tatizo sio kukosea tatizo ni pale unapotumia hekima na busara kumuelekeza mtu halafu badala ya kupokea unachomuelekeza basi yeye anapanic, anakuwa mbishi anavimba kama kifutu anahisi ameonewa, kwa staili yenu hii kipigo kitapendeza zaid . Wanawake baadhi yenu mnatukera na tunawaona mizigo tu...
Pole mkuu ila umenikumbusha mbali sana,
Miaka flan nliwah kumweka sawa mtoto flan wa kizigua pande za morogoro,basi tukapanga siku ya kukutana na tukawa tunachat msg za kutiana nyege had siku ilipowadia
Pole mkuu ila umenikumbusha mbali sana,
Miaka flan nliwah kumweka sawa mtoto flan wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.