Recent content by DREAMBOY

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

    Nchi za kikristo ni zipi?, kama nchi zenye wakristo wengi hata Congo DrC, ina wakristo wengi?, Peace is a philosophical term?, hivi amani ni nini ?,na hizo grounds za definition utayoitoa ,je ni universal kwa kila watu ? Ethiopia mbona inakimbiwa sana na watu wake ?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Mungu anisaidie Kuna mtu kunidhulumu mtoto hapo pwani, yaani nipoteza mtoto hivi hivi?. Ninachomuwazia ipo siku serikali itaingilia kati. He has influenced the denial of my accessibility to the child for almost two years now. Inaniuma mnoo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Chadema hawapendi hoja, nilitegemea ajitokeze mtu apinge kwa hoja na vielelezo. Kila anayewaza tofauti anakuwa mwana CCM muda huo huo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    attitude ya yanga ya kutooģopa mabadiliko,ndo iliyoifikisha hapa kuwa timu iliyofanikiwa zaidi nchini.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

    Yanga siku hizi sio rahisi kupata bao, ila ni ngumu sana kuifungua.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa viongozi wetu wanakimbilia nini na wanawahi wapi?

    Madereva wa serikali ni tatizo kwa kweli. Sijui kwanini polisi wanawaogopa?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nina GPA kubwa 4.1 ya Rasilimali watu(HR) ila kazi sipati

    HRO, bila mentorship huwezi pewa. Just a graduate upewe taasisi ,sio rahisi. Tafuta sehemu ujitolee kidogo ujenge network na kuaminika. Kwa h/shauri jifunze pia siasa za huko. Wanaweza kukuazimia ukileta u GPA wako tu. Nakuombea kwa Mungu milango ifunguke
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Apumzike kwa amani Mzee Ruksa. Ndo muasisi wa institutions, sio serikali kutegemea mawazo ya mtu mmoja. Aliyewageuka ndugu,jamaa na marafiki baada ya kupata madaraka.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini uvumilivu umepungua kwa kasi sana

    uvumilivu vs subira. Tolerance vs endurance
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Huo ni uongo ,wao ndo wanaongoza kwa kuwa na union vyuoni, kuliko makabila mengi au zinaishia shule?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Azam sikilizeni ushauri wangu kama mnataka kweli kuiletea heshima nchi na Bakhresa mwenyewe

    Azam wana laana, ya mzee cheche
Back
Top Bottom