Recent content by dranx

  1. dranx

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinafaa kipindi hiki cha Corona?

    Kwanini usidownload pesa Kwa kupitia forex Ni maoni yangu tu lakini😀
  2. dranx

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Chuo bora kwa kozi ya Accountancy kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii forums natumaini wote muwazima. Nataka kuhama kutoka T.I.A singida kuja kusoma Dar es salaam, je ni chuo gani kizuri Kwa course ya accountancy level ya diploma. Naombeni ushauri wenu.
  3. dranx

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu simu za iphone 6

    Kariakoo duka gani mkuu🙏
  4. dranx

    JamiiForums Tanzania Droupouts wa vyuo tukutane hapa

    Ni kweli lakini saivi Haina thamani kama zamani🔂
  5. dranx

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Natamani sana kujitegemea lakini nataka nikitoka Kwa wazazi niende kwangu kabisa kero za kupanga sitoweza. Kati ya kujenga na kununua nyumba kipi nafuu Kwa wazoefu? maana nataka nisepe home soon🙏
  6. dranx

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

    Mimi ndo naanza mwakani mungu akijalia nitaleta mrejesho🙏
  7. dranx

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuchagua bank

    Ngoja nitumie FNB SHUKRANI SANA KAKA
  8. dranx

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuchagua bank

    👆👆👆
  9. dranx

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuchagua bank

    Habari zenu wadau. Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
  10. dranx

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo

    Habari zenu wana jamii, Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
  11. dranx

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta iPhone 11 Pro

    Habari wana JamiiForums. Natafuta simu ya iPhone 11 Pro. kwa mwenye anajua wapi naweza kuipata kwa bei nzuri
  12. dranx

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    🤣🤣
  13. dranx

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ukiingia bila right knowledge utaona kama gambling Na pia utapoteza hela nyingi
Back
Top Bottom