Recent content by Drama queen

  1. D

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    jamaniiiii tuendelee banaaa, watu wana mastress yao wanakuhamishia
  2. D

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Bwanaaaa bwanaaaa yaani cjui tunakuwagaje, ingawa pia kuna wakati mazingira yanatubadili labda manyanyaso etc
  3. D

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    We kaka, hadi nimetoa machozi, Mungu akusaidie pole sana... Kwanza, unahitaji ushahidi kuwa ile kesi ya kwanza alikusingizia. Nenda polepole, unaweza kuwa unamtumia sms ukiwa kazini kumuelezea namna gani unampenda na ulivyoumia aliyokufanyia. Si unasema anaomba msamaha sana? Hii inamaanisha...
  4. D

    Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    Wanaomshangaa Msando ni wasiomjua.. Enzi hzo 2012 Arusha tulikua tunamuita Kiboro dinda... Hlf ana mke mzurii mstaarabu cjui anahangaikaga nn... Mmmmfffyuuuu Msando
  5. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Kwa wengine wote mlio comment kejeli na mengine Sikuwa na sababu ya kudanganya although nikiri tu nilikua mzembe kidogo nilimuamini kwa kumuangalia binti alikua mdogo kwa umbo na alionekana very innocent..na pia huyo dada ni mwizi expert anajua anachokifanya rejea bank walisema wameshapata...
  6. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Asante Faiza
  7. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Cjui alikaririje mayb aliweka camera.. Au aliangalia kwa mbali cjui.. Coz wkt nafanya muhamala alikua pembeni kabisa...alisogea wkt anataka kunitolea card.. Cjatumia card wik 2 since nlikua na ka akiba kengine apart frm laki 2 nliyotoa tht day.. By the way kazin walinilipia meals na...
  8. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Cjui alikaririje mayb aliweka camera.. Au aliangalia kwa mbali cjui.. Coz wkt nafanya muhamala alikua pembeni kabisa...alisogea wkt anataka kunitolea card.. Cjatumia card wik 2 since nlikua na ka akiba kengine apart frm laki 2 nliyotoa tht day.. By the way kazin walinilipia meals na...
  9. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Thank u... Am a fool Lakin nimetoa tu ili na wengine wajifunze yasiwakute..
  10. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Ambao hamuamini siwalazimishi kuamini.. Take it o leave it.. Inaweza kumtokea yoyote nimetoa tu km angalizo
  11. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Nlikua situmiwi mkuu
  12. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Cjui alionaje password aaisee cjui inaweza kuwa nlikua mzembe tho alikua ame concentrate kuhesabu hela zake na..wkt anavuta card mm nilikua nazidaka hela nilihisi anataka kuchukua zile hela.. Nikiri tu huyu dada ni expert
  13. D

    Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Simu banking ninayo acc ya NMB cjui km NBC inayo simbanking
Back
Top Bottom