Recent content by dr_vivo_dar

  1. dr_vivo_dar

    Makampuni Gani Wanatumia Uber/Corporate?

    Habari, Nipo kwenye process ya interview na Bolt kazi. Nimeulizwa swali nimekosa majibu. Hivi makampuni gani huwa wanatumia hizi huduma na Uber/Bolt Corporate? Kama una idea tusaidiane.
  2. dr_vivo_dar

    Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Makampuni gani wanatumia Uber/Corporate? Nimeulizwa swali la interview ya kazi. Unaweza ukawa na idea na makampuni yanayotumia Uber/Bolt corporate?
  3. dr_vivo_dar

    Wafanyabiashara wa Online Business tukutane hapa

    Nitaenda kwenye pointi. Huu uzi ni kwa ajili yako kama una matumizi makubwa sana ya internet ya na unatafuta unafuu. Nafanya Kazi Tigo. Kitengo cha Tigo Business. Wazee wa Postpaid Kwa kawaida huwa tunasaidia wateja wenye Online Business wenye hii changamoto: Una matumizi makubwa sana ya...
  4. dr_vivo_dar

    Wanawake msaidieni mwenzenu

    [emoji23][emoji23]
  5. dr_vivo_dar

    Natafuta Kazi ya Sales (B2B)

    Unatafuta mtu wa sales? Kampuni yako inakuwa kwa kasi na unahitaji watu wa kukusaidia kupanua soko? Uwezo wangu ni kuuza bidhaa kwa makampuni. Nina uzoefu wa miaka mitano. Kama kampuni yako inaajiri au unajua mtu anayeajiri nicheki. Nitakusaidia kupata wateja kwa haraka. Malipo yawe...
  6. dr_vivo_dar

    Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji847]kuna pisi naijua ni meneja mkubwa sana kwenye kampuni kubwa sana hapa tz Ila kichwani mmmhh. Sema ana sura nzuri, anavaa vimini vifupi sana vinavyonyesha mapaja yake meupe.....
  7. dr_vivo_dar

    Natafuta Kazi ya Sales (B2B)

    Unatafuta mtu wa sales? Kampuni yako inakuwa kwa kasi na unahitaji watu wa kukusaidia kupanua soko? Uwezo wangu ni kuuza bidhaa kwa makampuni. Nina uzoefu wa miaka mitano. Kama kampuni yako inaajiri au unajua mtu anayeajiri nicheki. Nitakusaidia kupata wateja kwa haraka. Malipo yawe...
  8. dr_vivo_dar

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Muundo gani wa mbele unakuvutia?
  9. dr_vivo_dar

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Muundo wake wa mbele ni kama kwenye picha hapo chini..Picha za juu ni muundo wa nyuma.
  10. dr_vivo_dar

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Unatumia vivo ipi?
  11. dr_vivo_dar

    Wauza smartphone tukutane hapa

    vivo Y21 Kwa watu ambao wamechoka kufuta document za simu mara kwa mara. Specifications: [emoji3581]Ram 5gb [emoji3581]Storage 64gb [emoji1702]Camera mbele: 8mp [emoji1702]Camera nyuma: 13mp + 8mp + 2mp [emoji3581]Network: 4g [emoji3581]Double line [emoji3581]Chaji: 5000 mAh...
  12. dr_vivo_dar

    Phone4Sale Umechoka kufuta document kwenye simu mara kwa mara?

    1. Unahitaji laini ya voda 2. Kama ni mfanyakazi wa serikali inatumika check namba 3. Details zake zinaingizwa kwenye system 4. System inasoma unafaa kupewa mkopo wa kiasi gani 5. Ukishaingizwa kwenye system unaweka deposit ya kwanza na unapewa simu 6. Kila mwezi unakuwa unakatwa kupitwa namba...
Back
Top Bottom