Recent content by Dr.

  1. D

    DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  2. D

    RE-ADVERTISED: Nafasi za Kazi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro - NCAA

    Niliomba GIS Officer II.Wanaita lini kwenye usaili
  3. D

    Mwl. Kennedy Mpemba wa Kagongwa Kahama, huyu jamaa huwa simuelewi anafanya kazi muda gani

    Heri dereva bajaji,Juma Mwanaharakati kwa Kweli hata Mimi huwa najiuliza sana kuhusu hili kundi
  4. D

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Umenikumbusha mbali sana. Hata mimi niliwahikupitia kipindi kigumu sana. Nilipambana sana ila sitsahau siku nimeenda kwa HR wa Manispaa mmojawapo hapa Dar maana walikua wanatoa ajira za mkataba na malipo mazuri huyo HR akanielewa na kunielekeza kwa mkuu wa idara yangu asain Cv yangu Kisha...
  5. D

    Mipango Mijii Dar Es Salaam na mikoani iwe updated

    Kwa sasa kinachofanyika ni Urasimishaji makazi holela kwa kuyapima maeneo ambayo watu wameshajenga.Hii Inaitwa regularization of informal settlements au squatter upgrading,huu ni upimaji shirikishi. Nawaasa watu wote ambao upimaji wa aina hii unafanyika washiriki kikamilifu maana gharama zake ni...
  6. D

    Kwa sisi wenye akili kidogo ile kusoma mikozi migumu chuo ulikua ni haifai

    Hii ni chanamoto kubwa,mtu unasoma kwa mbinde matunda yake mfukoni hamna. Yani nikikumbuka hali ya sintofahamu niliyokua nakabiliana nayo pale Ndanda High school na PCB. By the way Mungu ampe maisha marefu former headmaster Rulukila
  7. D

    Hatua nilizopitia mpaka kufika Ukraine, na bado niko njiani kwenda nchi ya ahadi Norway

    Umepewa Dolla 1500 badala ya kurudi nyumbani na kufanya uwekezaji wenye tija we unaendelea kuzurura nchi za watu. Ona sasa umeiacha familia yako kwenye janga la umaskini.Ila Mimi Dr. Nakushauri Fanya mbwembwe zote Ila kaa mbali na Biashara za dawa za kulevya au Ugaidi maana ninae ndugu yangu...
  8. D

    Wale ambao bado tunaendelea na Forex tupitie hapa.

    Mi natarajia kuanza forex mapema mwezi ujao. Nimeshajiandaa vya kutosha ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu, kuangalia clip mbalimbali na kufanya training kwa Mdogo wangu ambae ni mwezi wa tatu sasa anafanya kwa mafanikio makubwa.Nimegundua elimu ni kila kitu katika maisha na hapa ndipo watu wenye...
  9. D

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Forex Ndio Biashara ya kisayansi ambayo ni halali na mtu anaweza kufanya, ili mradi awe mtu makini alaf msomi.Hawa Qnet wako Mwenge Karibu na Nakiete.Nimeshahudhuria presentation zao mbili kwa kupelekwa na rafki yangu ila sidhani kama nitatoa hiyo 4.2 Milion. Good morning partners
  10. D

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Hawa Jamaa wako Mwenge Karibu na Nakiete.Nimeshahudhuria presentation zao 2 kwa kupelekwa na rafiki yangu.Jamaa ni ving'ang'anizi sana unwaambia hela huna hawataki kuelewa. Hii awam ya 5 Sio mchezo mtu nitoe Milion 4.2!.Biashara halali na ambayo ni ya kisayansi ni Forex Ila kwa wasomi na watu...
  11. D

    Waliooa wanawake darasa la 7 na kidato cha 4 wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa wasomi

    Hakuna kitu kizuri kama Unafanya kazi ukirudi nyumbani unamkuta mkeo anatekeleza Majukum ya kifamilia.Na hakuna jambo baya kama kua na mke asiepatikana nyumban kisa eti kazi. Kibaya zaidi hawa wanaojiita wasomi huwezi ona mshahara wake unapoenda.Akitoa mchango wake siku mmekosana Utaskia...
  12. D

    Kaka Zetu kwa hili mnatuangusha wadogo zenu!!

    Hata mimi zaman nilidhani kua nikioa mwanamke msomi na mwenye kazi kama mimi tutasaidiana na nitafanikiwa haraka kimaisha.Kumbe ni ubatili mtupu.Eti asaidie homework! unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake wa zama hizi ni hatari zaidi akiwa nje kuliko akiwa nyumbani na utambue kua ataenda kazini...
  13. D

    Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Sitegemei kumkuta Sheikh anaesimamia misingi ya uislaam kufuatilia mitandao ya kijamii hasa Instagram huko tunatambua pasinashaka kua zimejaa picha za Ufuska na utupu. Yeye kama Sheikh wa mkoa alitakiwa kutumia muda wake kupaza sauti juu ya mateso wanayopitia vijana kwenye mahabusu nchi nzima...
  14. D

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Kuna kijana anaitwa Azan Abubakar ni Mwaka wa tatu sasa anashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi na alikua mwanafunzi wa Medicine Udom.Wapo waislaam wengi wamepewa tuhuma kama hizo bila kupelekwa Mahakamani.Sheikh badala ya kuzungumia mambo kama hayo yeye eti anashinda Insta,huko kuna nini zaidi ya...
  15. D

    Hatua za kufuata katika upimaji Kiwanja/shamba

    1.UKAGUZI WA KIWANJA/SHAMBA a) Kuchukua alama (Coordinates) za eneo husika kwa kutumia kifaa maalum kiitwacho GPS (Global Positioning System). b) Alama (Coordinates) za kiwanja zikishachukuliwa hupelekwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi au Halimashauri husika...
Back
Top Bottom