Recent content by Dr. Zaganza

  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania ANDAA DAWA ZA UTI, PID, MAUMIVU YOTE YA MWILI, BAWASIRI NA VIDONDA VYA TUMBO

  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu 5 zinazoweza kusababisha uwe na tumbo kubwa (abdominal distension)

    ⚫ Zipo sababu kuu 5 zinazoweza kusababisha mtu akaonekana kuwa na tumbo kubwa kama ifuatavyo;⤵️⤵️ 1. 🔗 Tumbo kujaa gesi (Flatus). Watu wengi wamekuwa na matumbo makubwa wakidhani kwamba wana vitambi vinavyotokana na mafuta kumbe matumbo yao yamejaa gesi inayosababishwa na sababu mbalimbali...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukitazama video hii, utajifunza mimea tiba kulinda viungo vyako

  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania *KONGOSHO NA KISUKARI*

    ⚫Kongosho, kiungo cha mwili ambacho kinapatikana sehemu za nyuma tumboni,huachilia homoni iitwayo insulin kuingia kwenye damu. Insulin huruhusu glukosi kutoka kwenye damu na kuingia kwenye seli(cells)fulani katika mwili,ambako hugeuzwa na kuwa nishati mwilini. Tunatumia nishati(Nguvu) hii...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

    Wazee wetu waliamini kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume na mkeo kulala. Wake zako 2, utapata wapi stress. Mkeo aende semina wiki na boss mikoani ,mwanume unapataje usingizi
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Unapewa connection ili ukafanye kazi kwa bidii. Kama mvivu utaacha ndala tu. Kuna watoto wa marais majobless tu ,kina wanapowekwa ,wanaharibu.
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tafuteni Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya CHANGAMOTO ZA UZEE kama usingizi,kusahau,maumivu viungo n.k

    Hatuna dawa hizo.huwa tunatoa ushauri Mazoezi, kula vyakula asilia, acha kutazama pono au kushangaa wadada waliovaa vibaya njiani Mwisho tafuta mmea wa mkandandogowe kuongeza kasi ya mzunguko wa damu.
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

    Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake. Chukua maganda ya ndizi mbivu 4 Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika Chemsha hadi...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Walioitengeneza Artificial Intelligence (AI)waanza kuiogopa

    Ndugu yenu mkimuonya kitu, akapuuzia, yakimfika majanga, msimuokoe haraka haraka, mpaka somo limuingie. Kama Ulaya walivohamasisha wanawake kwenda makazini na kuzuia uzazi kipindi cha mapinduzi ya viwanda, leo hii Ulaya imemezwa na wageni mpaka viongozi wa majimbo.Wameanza kuweka zawadi kubwa...
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Faida za mmea wa Kihindihindi kutibu shida zoote za mifupa

    1. Kuharakisha Uponyaji wa Mifupa - Mmea huu una sifa za kusaidia kuharakisha kufunga kwa mifupa iliyovunjika na kurekebisha tishu zilizoharibika. 2. Kupunguza Uvimbe na Uchochezi - Ina sifa za kuzuia uchochezi, hivyo kusaidia kupunguza uvimbe na maumivu yanayohusiana na majeraha ya...
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wabaya wanadumu na wema wanakufa?

    Dunia imeumbwa kwa misingi ya uvumilivu,Hata watu wabaya wakifa woote, kuna magonjwa ya kukulaza kitandani maisha yako yoote, kuna wanyama wakali , weka majanga kama umaskini,elnino n.k . anayefaulu ni mvumilivu huku akichukua hatua stahikibila kuumiza wasio na hatia
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Sababu za Miwasho mwilini na Tiba yake

    karibuni
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

    karibuni
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Zijue faida ya mafuta ya Amla

    Unaweza SUA kupata mbegu
Back
Top Bottom