Recent content by Dr Salla

  1. Dr Salla

    Kupandishwa Cheo kwenye Utumishi wa Umma baada ya kutokutwa na hatia ya Jinai

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  2. Dr Salla

    Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  3. Dr Salla

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Na Donati Salla Nimeona Zahama ya upofu wa fikra na ushabiki usiokuwa na tija ambao unachagizwa na kutiwa chumvi na wafuasi wa vyama vya upinzani na baadhi ya wanaCCM bila ya kutafakari na kuielewa shabaha ya chumvi hiyo nao pia wamekuwa wakifuata mkumbo na kushabikia mambo ambayo ama kwa hakika...
  4. Dr Salla

    Ushauri wa bure kwa wanafunzi wa UDOM waliorejeshwa nyumbani (ushauri wa kisheria)

    USHAURI WA BURE KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA MAALUM YA UALIMU WA SAYANSI AMBAO WAMERUDISHWA NYUMBANI KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA. Kwanza ninachukua fursa hii kwa yaliyowakuta. Kwa ufupi ni kwamba mmeonewa. Sasa kuna kitu kinaitwa "Administrative Law" kwa kiswahili tunasema kuwa ni sheria ya...
  5. Dr Salla

    Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Taasisi za Vijana Barani Afrika

    Sekretariati ya Shirikisho la Taasisi za Vijana Barani Afrika imeiteuwa Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho hilo Utakaofanyika Mnamo Mwezi June, 2016. Chanzo: Tanzania Social Support Foundation.
  6. Dr Salla

    Nukuu ya Ndg. Donati Salla

    "Ukiona Kiongozi anashindwa Kuwajibika ujue kwamba, huyo Kiongozi ni dhaifu, na yupo kwa ajili ya Maslahi Binafsi bila ya Kujali Maslahi Mapana ya Umma" ******************************** Pia Ukiona Wanaopaswa kumuwajibisha Kiongozi fulani hawamuwajibishi, ujue kwamba, Wawajibishaji ni dhaifu, na...
  7. Dr Salla

    TSSF Inakukaribisha Kwenye Mkutano wa Vijana Kitaifa.

    Shirika lisilokuwa la Kiserikali la "Tanzania Social Support Foundation" limeandaa Mkutano wa Vijana Kitaifa Utakaojadili kwa kina kuhusiana na yatokanayo na Sera za Uchumi wa Gesi Asilia na Mafuta kwa Vijana wa Tanzania. Ni wakati wa vijana kuleta mabadiliko ya kweli na mwelekeo mzuri kwa taifa...
  8. Dr Salla

    Ajira za walimu 2014.

    Tuna Upungufu wa Walimu Mashuleni wakati walimu wapo Mtaani wanazurura. Tunadaiwa tril.22 na bado tunakopesheka badala ya kusema kuwa tuna uwezo wa kulipa. Nitatangaza majina ya wabunge wa bunge maalum la katiba Jumatatu au Jumanne mwisho Mhe. awaasa viongozi wa vyama vya siasa kuhusiana na...
  9. Dr Salla

    Anayeichafua TAHLISO huyu hapa

    Ni jambo la busara kwamba kama kuna ushahidi wowote kuhusiana na jambo hili basi ni vyema ukawekwa hadharani hapa kwenye jf kwa sababu siyo vizuri kuipuuza hoja ya mtu pasipokuwa na sababu yoyote na pia siyo vizuri kumchafua bila ya sababu.
  10. Dr Salla

    Mwenyekiti wa TAHLISO ni raia wa Tanzania

    Ndugu Wasomaji wa Makala mbalimbali kwenye Jukwaa la Siasa hapa Jamii Forums! Kumekuwepo na watu fulani walioandika Makala kwamba Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania Ndugu Amon Chakushemeire siyo Mtanzania. Naomba Kwa niaba ya Taasisi ya TAHLISO Kukanusha...
  11. Dr Salla

    Profesa Mchome Anafaa kushika Nafasi ya Ukatibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Chochote utakachokifiria wewe ni sahihi kulingana na mtazamo wako.
  12. Dr Salla

    Profesa Mchome Anafaa kushika Nafasi ya Ukatibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Mwanadmu yeyote yule ana sifa ya kubadilika na kufanya vizuri au vibaya. Nimesema maneno hayo kutokana na namna ambavyo watu wengi walivyojitokeza kukosoa uteuzi wa Profesa Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mimi ni kati ya watu wa karibu kabisa ambao tumewahi...
  13. Dr Salla

    Mwanadamu yeyote ana tabia ya kujisahihisha, kujirekebisha, na kubadilika.

    Nimesema maneno hayo yaliyopo kwenye kichwa cha habari ya makala hii kutokana na namna ambavyo watu wengi walivyojitokeza kukosoa uteuzi wa Profesa Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mimi ni kati ya watu wa karibu kabisa ambao tumewahi kufanya kazi na Profesa...
  14. Dr Salla

    TAHLISO yamuumbua January Makamba, yadai ni wanavyuo feki waliandaliwa, urais wamtesa

    1.0 Utangulizi. Ndugu Wanahabari; Mnamo Jumatatu ya juma hili yaani siku ya Agosti 19, 2013 gazeti la Majira toleo Na: 7166, gazeti la Jambo leo toleo Na: 1440, na gazeti la Mwananchi toleo Na: 4796 na vyombo vingine vya habari viliripoti juu ya Mkutano wa baadhi ya Viongozi wa Serikali za...
  15. Dr Salla

    TAHLISO yamuumbua January Makamba, yadai ni wanavyuo feki waliandaliwa, urais wamtesa

    Hakuna Mjumbe hata Mmoja aliyetoka TAHLISO na hata wao wenyewe kwenye taarifa yao walisemakuwa Mkutano huo Uliofanyika Morogoro haukuandaliwa na TAHLISO.
Back
Top Bottom