Recent content by Dr rujana

  1. D

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

    daah maisha haya hayana formula kbsa na haki pia
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    hivi wakuu PCCB si sio taasisi ya MUUNGANO why mzanzibar aiongoze.kule znz wao wana ZAECA.Naona kwa mbali huyo DG mpya wa PCCB anakuja kumrithi IGP SIRO,mana kasharushwa cheo kutoka ACP TO CP.kuna cheo cha SACP kakiruka hapo.i think hyo ndo IGP mpya after SIRO
  3. D

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Duuuh! Hivyo vitu vilivyotengeneza tunguri ni hatari
  4. D

    JamiiForums Tanzania Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

    yap ni yeye.Dr Pima alikuwa mwalimu wa Gambo IAA
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Mleta uzi idara ya uhamiaji haiusiki na kazi.inachofanya uhamiaji ni kutoa resident permit baada ya mhusika kupata work permit.kwa kuongezea hapa ni kwa ajili ya usalama tu wa nchi yetu.wakenya na wahindi ndo jamii zinazoongoza nchini mwetu kuishi kiujanja ujanja.mkenya na mhndi anaweza akakaa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Kufiwa = Kufiriwa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

    Kwa kuongezea hata Askari wastaafu wa Jwtz ni part ya Jeshi la akiba
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Kule Zanzibar Kuna baadhi ya taasisi za SMZ zinatumia magari used
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Historia ya bunge la JMT kupata Kulwa na Doto kuwa wabunge imefutwa,nduguye waziri wa madini Doto Biteko wamemkata Jimbo la busanda licha ya kuongoza kura ya maoni
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Dikteta Hastings Kamuzu Banda wa Malawi aliyepiga marufuku kuvaa suruali

    Kwahyo jamaa alikubali kuhasiwa kwa malipo ya kuitawala Malawi,daah Bora nibaki na umaskin wangu lakin mashine iendelee kutwanga na kupepeta
  11. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Astronomers: Nini kimesababisha nyota kutoonekana kwa wingi angani?

    Kweli,itafikia kipindi wajukuu zetu watakuwa wanaziona nyota kupitia vitabu tu na sio kuona kwa macho yao wenyewe
  12. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Astronomers: Nini kimesababisha nyota kutoonekana kwa wingi angani?

    Sh Shukran mkuu,uzuri mwezi ujao nina safari za kutembelea vijijini nitachuguza nione but hizi nyota nilizokuwa naziona kutokea hapa Dar na umeme wa majumbani ulikuwa umeenea nyumba nyingi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Astronomers: Nini kimesababisha nyota kutoonekana kwa wingi angani?

    za za begani naziona kwa sana mkuu😁😁😁
  14. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Astronomers: Nini kimesababisha nyota kutoonekana kwa wingi angani?

    Ya corona au..😁😁😁
Back
Top Bottom