Recent content by Dr PL

  1. Dr PL

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

    Kwani kuna mkakati wowote wa kuwasaidia wale ambao wapo nchini na hawana makazi na mahitaji muhimu? Kama tu waliopo nchini hawajasaidiwa kwa namna yoyote hao waliotoka Africa Kusini wataachwa wapambane na hali zao.
  2. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Tusichanganye Bima ya Afya kwa wote na TASAF, kila Mtanzania atumie kipato alicho nacho kuunga mkono, Serikali imeshaweka Bilioni 48

    Mpaka sasa sielewi kinachofanyika kwa hiyo bima ya afya kwa wote. Bado kuna baadhi ya watanzania wanapita mitaani na hata wengine kujitangaza kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuomba michango ya matibabu toka kwa wananchi. Kama kweli serikali wamenuia kutoa bima ya afya kwa wote...
  3. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Kati ya kozi mbili zifuatazo ni kozi ipi inalipa zaidi na ipo Marketable zaidi na yenye malupu lupu

    Ukitaka kuliendea jambo kaa utulie isikilize nafsi yako na moyo wako vitakwambia nini, ndipo ufanye maamuzi ya kuliendea. Fanya kile ambacho moyo wako unapenda kufanya hata bila malipo. Ukiendea kitu au jambo kwa sababu linalipa leo, kesho linaweza lisilipe kwa hiyo utaumia. Tazama au jikite...
  4. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Manka Chuga aliye kuwa akinywa Pombe kama maji aomba msaada

    Hivi zile kampuni zinazomiliki na kuzalisha hivyo vileo alizokuwa anabugia na kuwasaidia kutangaza biashara/bidhaa zao hawajawahi kujitokeza kumpongeza? Kama amepata matatizo ya kiafya nafikiri ni wakati muafaka kwa kampuni hizo kumsaidia kwa kuwa aliwasaidia kunywa na kutangaza bidhaa zao....
  5. Dr PL

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote

    Sasa hivi washavurugwa, hakuna lolote la maendeleo na lenye faida kwa wananchi linalofanyika, viongozi wapo wamefura, wanapambana kwa ajili ya biashara zao, hilo liko wazi sana.
  6. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kwa kamati ya Uchunguzi wa hitilafu ya Gridi ya Taifa

    Niko poa mkuu, 😂 😂 😂,,,,kwani kuna nini?
  7. Dr PL

    JamiiForums Tanzania KERO Nimetibiwa Zahanati ya Chuo Kikuu cha MUST, Mganga Mkuu anasema nilipe kwa Lipa Namba yake, hii ni sawa?

    Ni vizuri kwamba umeripoti mitandaoni, mitandao ipo kusaidia wananchi kuibua maovu. Naona baadhi ya wadau wanakuponda eti '"mbona hupigi kelele za mabilioni.."..hivi tunasahau kwamba elfu moja huzaa bilioni? Kidogo kinachoibwa ndicho huzaa kikubwa, kwa hiyo ni lazima kuhoji au kukemea mianya...
  8. Dr PL

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Kwa sasa hakuna wa kuchukua hatua, watu (viongozi) wako kwa ajili ya mambo yao binafsi, hata matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi wao hutumia kama fursa ya kupiga na kibaya zaidi ni kwamba kuna wakati matatizo hutengenezwa ili tu kupata mwacha wa kupiga.
  9. Dr PL

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

    Ni ngumu sana kumtetea shetani. Ni ngumu sana kuficha ukweli.
  10. Dr PL

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Angeazima kwa jirani yake,,,😂😂
  11. Dr PL

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Pole sana, Kabla ya kwenda kwenye usaili ni muhimu kufanya maandalizi na uchunguzi kidogo wa kampuni au taasisi husika ili ujue utaratibu wao kuendesha mambo ikiwemo uvaaji nk. Siku hizi mitandao imejaa elimu kuhusu namna ya kujiandaa na kukabili usaili (interview) kwa hiyo jifunze humo na...
  12. Dr PL

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la maji Mbezi Makonde Dar limetimiza mwaka mmoja sasa, maji yanatoka kwa nadra

    Kwenye hii nchi kuna mambo ya ajabu sana.... Ni juzi tu watu walikuwa wakiimba nyimbo za "hana deni,..."katimiza yote" ........ sijui "mitano tena " Leo kila kona kilio, nyimbo tofauti zinaimbwa..."hakuna maji"...."hakuna umeme "......"barabara mbovu"....nk Ni lazima tuwe wakweli na...
  13. Dr PL

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira Mpya - Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe tumepewa Fedha za Kujikimu pungufu, tukihoji wanasema "Nyie ni wa Kijijini"

    Ndiyo maana watumishi wengi wanaopangiwa vituo vya kazi vijijini hawakai huko, badala ya kuwekewa mazingira wezeshi au kupewa kipaumbele na motisha wanafanyiwa uhuni kama huu.
  14. Dr PL

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kuhusu uongozi wa Afya – Halmashauri ya Mpimbwe (CHMT)

    Pamoja na kuwa katika nyakati za upendeleo na upigaji hoja au tuhuma hii ingekuwa na mashiko sana kama ungeweka mfano halisi wa hao ambao hawana sifa lakini wameteuliwa kushika nafasi hizo.
  15. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Napata wapi jukwaa la viongozi au wadau wanao-plan mikakati ya nchi hii ambayo inatekelezwa

    Wanalalamikia nini? Chukua hayo yanayolalamikiwa uje na mbinu au suluhisho. Nchi hujengwa kwa kusikiliza na kutatua kero au malalamiko za wananchi, mipango na utekelezaji pia hutokana na malalamiko.
Back
Top Bottom