Recent content by dr no

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Richard Mushi

    celestine mushi yuko ubalozi marekani, mh lowasa alivyokua pm yeye alikua katibu wake msaidizi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dada ni jina halisi la tatu la Idi Amini?

    jina halisi lilikua idd amin kaidada lkini akaondoa kai baada ya kuingia jeshini. soma reign of terror by henry kiemba or kyemba
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

    bridge from nowhere to nowhere. by jk wakati wa ufunguzi wake
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyochomwa na FFU Mtwara

    mbona wakuu hamzungumzii nyumba takribani &nbsp;20 za polisi waliojenga uraiani zilizochomwa moto baada ya kuporwa vitu vyote vya ndani siku ya tarehe 22 tuache unafiki<br>:
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tambua hawa ni akina nani?

    ex jomo Kenyata,Mwai kibaki,Arap moi na huyo dogo ni Uhuru Kenyata
  6. D

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke..............@ BBC

    hata yeye hakuwa mzuri darasani kwani alizungusha form 6 pale makumira mwaka 91 kama sijakosea.kipaji muhimu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Mzungu tapeli anapita na Dola na Euro fake mahotelini; kaeni chonjo:

    Ni kweli kabisa mkuu. nilishakumbana naye pale kisuma lodge mbagala sabasaba. alikuja kwa gear hiyo ya kuulizia chumba na akapelekwa kukikagua, akakikubali, walivyorudi reception akaomba apatiwe sh 50000 ili akachukue mzigo wake kwenye boda boda ambayo alidai ameikodi toka kibiti ambako...
Back
Top Bottom